Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

Jaman asikuambien mtu hospital aliyo lisu Ni ya kwanza africa mashariki Na Kati Kwa hudum nzuri Na Za uhakika, Ila pia Ni hospital ghali kuliko hospital zote unazizijua wew hap east africa hiy operation tu sio Chini ya milion 50.


Tutalipa tuuu na hizi hizi mia tano zetu kwani nini achana na nguvu ya umma... na hata toa hata mia yake kwenye mfuko na bank kuanzia usafiri matibabu, na hata hatakaa sehemu ambayo sio VIP uko hapo..................... What is money compare to life......................... bana
 
MBINU MPYA YAKUJIPATIA PESA WAJINGA WATACHANGA
 
Wewe nyamaza kama hutaki kuchanga,kwa nini useme sijui kina lowasa wawaite Rafiki zao wachache wachange.wale watu waliojaa Dodoma General hospital jana waliitwa nani, au walikuwa viongozi wa chdm?Watu tuna mapenzi na Tundu Lisu kibali cha kupenfwa MTU hutolewa na Mungu.
 
Hatujaombwa kuchanga tumeamua kuchanga wenyewe...hayo maswali ungewauliza wale waliochangisha pesa ya rambirambi kagera alafu wakatokomea nazo
 
Naomba uweke namba za kuchangia kwenye nyuzi yako hapo juu, please naomba ututendee haki
 
Ulikuwa huelewi kuwa chadema kinaendeshwa na wachagga?
Umepiga mswaki na kusukutua vizuri kweli?
Maana naskia harufu kali ya uvundo kutoka kinywani mwako, sijui umekula nini...!!
 
Una hoja ya msingi sana, sema kwa wiki hii na inayokuja, there's nothing you gonna say that will be relevant to the mass, well most of them won't understand your points.

Hakuna target ya makusanyo(bakuli), haijulikani zikizidi atapewa Lissu(mhanga wa tatizo) au chama kitachukua, chama kitatoa nini kumtibu member wao.

We pray for Lissu, May he recover soonest in Jesus'name.
 
Una hoja ya msingi sana, sema kwa wiki hii na inayokuja, there's nothing you gonna say that will be relevant to the mass, well most of them won't understand your points.

Hakuna target ya makusanyo(bakuli), haijulikani zikizidi atapewa Lissu(mhanga wa tatizo) au chama kitachukua, chama kitatoa nini kumtibu member wao.

We pray for Lissu, May he recover soonest in Jesus'name.
Mkuu ahsante!.
Mimi sipo against Chadema ila just thinking loud!...
Me namwelewa saana Lisu na kitu anachopigania na always hoja zake zina nguvu saana na sio mnafiki!.
Wote tunasifia siasa za Kenya zimepiga hatua saana!!.
Pia angalieni vyama vyao vya upinzani,
Support yanayotoa kwa wananchi wao..angalia ofice zao angalia wanavyokuwa wanajipanga,angalia ideology zao,makongamano yao!.
Nadhani inatakiwa ifike sehem kama ambavyo tunawauliza serikali kuhusu mfuko wa maafa na Chadema inawe nao.
Sijui kuhusu familia ya mh Mawazo ambaye aliuliwa baada ya uchaguzi kama bado inakubukwa kwa chochote.
Ivyo kuwa na mfuko wa majanga ya chama ungesaidia majanga kama haya..
Ingekuwa ni hoja ya kuchangia chama wala nisingepingana nayo,napingana na hoja ya kuchangisha wananchi kwa matibabu ya Lissu wakati chama kina ma elite wengi.

Get well mh Lissu!.
 
Acha uzwazwa mtoa uzi, ruzuku inatolewa kwa kazi maalum za kichama sio majanga,hata serikali pamoja na kwamba watu kibao tunalipa kodi tetemeko la ardhi mkoani kagera ilitembeza bakuli,hujui kitu kaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimechanga nachotaka ni lissu apone mengine sitaki kujua
 
Hata matajir ka kina bakhersa wkifa rmbrmbi muhimu je hua inafnyika kutokana na kutojiweza??? Hyo inayofanyika kea lisu ni kushow lov kwke na hzo fedha zinaweza kusaidia weng waliopo hosptl...na pia ka ww unaona haifai kuchanga you can mute acha wengine wanaona umuhimu wa kuchanga wachange usijione una uwezo mkubwa wa kuingilia mawazo ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo
Kiukweli sioni logic behind..zaidi ya kutafuta huruma ya umma.chama kubwa kama hilo kuanza kupitisha bakuli la kuchangia matibabu ndo kwanza siku moja hospitali.akikaa miez miwili hosptal itabid wakaombe pale hazina kuu ya serikali.aibuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nionavyo mimi viongozi wetu wa CDM wamelazimisha Lissu apelekwe nairobi kwa matibabu ili wapate michango wapige deal. kwani mpaka sasa ishapatikana zaid ya mil 70. wametumia vizuri ule msemo wa kiswahili unaosema 'pafiwapo ndio paliwapo'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom