Dah mtoa mada umegusa ninapopataka. Swali hili alishalijibu BABA WA MJI{@ndesamburo} alisema hivi nanukuu: watu wananiuliza mbona mnaleta maandamano huku kwetu lakini hatujawahi kusikia maandamano moshi? Nikawajibu kwamba tunachokifanya moshi niutekelezaji wa ilani ya chama kwani sisi pale moshi sio wanaharakati ila ni watawala na ccm ndo wanaharakati wanaotamani kututoa madarakani na wanajua hawawezi yaani moshi ilishakombolewa na sasa ipo huru tunapoandamana sehemu nyingine ni kuhakikisha nako ukombozi unafika baada ya hapo mambo yatakuwa shwari kama moshi. Mwisho wa kunukuu BABU alisema hayo mjini moshi kwenye mkutano wa hadhara baada ya kutoka hospitali mapema mwezi wa tatu au wa nne kama sikosei.
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?
Hahahahahahaaaaaa.
Ya mbayuwayu!!!!!!!
moshi hawataki vurugu za maandamano! wanajua fika kabisa vurugu za maandamano zitaharibu biashara ya utalii ambayo vijana wengi ndo wanakoptata riziki zao, pia wao bize sana na biashara zao mbalimbali!
Jibu sahihi kabisa nakupa 3 stars!!!