kwa hiyo watu woote wanaoishi arusha ni waarusha tu sio? Na dar es salaam wanaishi wazaramo peke yao sio? Sasa ninyi endeleeni tu na mawazo kama haya mkidhani kuwa taifa litabaki salama.
tunajua lengo lenu ni kumwaga damu,na waume zenu wamesha sema nchi haitawaliki.lakini kuziba makovu na kuijenga tena taifa, kazi kubwa ngumu na mzito.