Kwanini CHADEMA hawaandamani Moshi?

Kwanini CHADEMA hawaandamani Moshi?

Wanaotakiwa kushawishi watu kuandamana ni ccm kwani wao huku ndo wapinzani
NB: tangu vyama vingi 1995 ccm haijachukua ubunge moshi mjini
 
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?

moshi imeshakombolewa, na ndio maana tunaelekeza harakati za ukombozi katika maeneo mengine yaliyopo gizani bado!!!
 
942515_617153594963121_1994579558_n.jpg

Tunasubiri maisha bora kwa kila Mtanzania. Miaka kumi sasa inakatika hatuoni.

Yanakuja maisha bora.. Leo Fast jet anatia saini ujengaji wa flyover ya pale ubungo huko Tokyo, Japan.. kutimiza ahadi alioitoa mwaka 2005.. Kwa hiyo kwa speed hii hatutakiwi kuwa na haraka.. Nadhani miaka 40 ijayo atakuwa ametimiza robo ya ahadi zake..
 
Asante sana ndugu yangu umewamaliza magamba kwa single shot! Mungu akubariki kwa majibu yenye busara na weledi wa hali ya juu. Hii ndio chadema bhanaaa

nashukuru ndugu yangu frakitosho kwa busara zako. Ila mimi sio muumini wa chadm bali nasimama kwenye ukweli na siasa safi kwani amani ni msingi wa maendeleo kwa hiyo tuepuke kuingiza siasa mahali isipohitajika ila tupo pamoja tujenge nchi yetu kwa kupitia cdm kwa wao naona ni watendaji sio wazungumzaji kama ccm mfano tembelea moshi utajionea anza na stendi kuu kisha mawenzi n.k
 
Last edited by a moderator:
Swali na majibu muafaka huku watu hawataki ujinga wa watawala facts tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yanakuja maisha bora.. Leo Fast jet anatia saini ujengaji wa flyover ya pale ubungo huko Tokyo, Japan.. kutimiza ahadi alioitoa mwaka 2005.. Kwa hiyo kwa speed hii hatutakiwi kuwa na haraka.. Nadhani miaka 40 ijayo atakuwa ametimiza robo ya ahadi zake..

ngoja asign hiyo mikataba aje wapate cha kuongea 2015 kwani inakuja kwa kasi na bado hawajafanya waliyoahidi. Utekelezaji mwema
 
Labda kama watawalipa wananchi wa moshi wataandamana kule walistaarabika siku mingi sana kuwa hakuna kutumikishwa bure kwa maslahi ya wachache

Nadhani kuna mambo humu huwa tunadanganyana,

Juzi taarifa ya Serikali inasema wilaya ya Hai na Mwanga ni kati ya wilaya chache TZ zenye kukabiliwa na njaa kali mpaka Serikali imepeleka tani kibao za msaada wa chakula.

Wastaarabu inakuwaje hata chakula hawawezi??????????????????????
 
Sasa mtauliza mbona waislamu wanaandamana dar na si bukoba?
Mbona wananchi wanaandamana mtwara na si monduli?
 
Yanakuja maisha bora.. Leo Fast jet anatia saini ujengaji wa flyover ya pale ubungo huko Tokyo, Japan.. kutimiza ahadi alioitoa mwaka 2005.. Kwa hiyo kwa speed hii hatutakiwi kuwa na haraka.. Nadhani miaka 40 ijayo atakuwa ametimiza robo ya ahadi zake..

Umeona tunavyo dhidi kuchakaa lakini?
 
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?

nadhani serikali inajua watu wa kule moshi washashtuka,matatizo unapowastua waliodozi,kwa arusha nadhani ni economic interest,pakitulia fresh magamba kibao yatakataa mahoteli,sema sasa la mtwara linawaharibia kabisa
 
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?

Swali hili alishalijibu BABA WA MJI(Ndesamburo) alisema hivi nanukuu: watu wananiuliza mbona mnaleta maandamano huku kwetu lakini hatujawahi kusikia maandamano moshi? Nikawajibu kwamba tunachokifanya moshi niutekelezaji wa ilani ya chama kwani sisi pale moshi sio wanaharakati ila ni watawala na ccm ndo wanaharakati wanaotamani kututoa madarakani na wanajua hawawezi yaani moshi ilishakombolewa na sasa ipo huru tunapoandamana sehemu nyingine ni kuhakikisha nako ukombozi unafika baada ya hapo mambo yatakuwa shwari kama moshi. Mwisho wa kunukuu BABU alisema hayo mjini moshi kwenye mkutano wa hadhara baada ya kutoka hospitali mapema mwezi wa tatu au wa nne kama sikosei.​

Moja katu ya mikoa tulivu tanzania ni pamoja na kilimanjaroo. Nawaza kutafuta fedha kúendesha maisha binafsi siwazi maandamano yananipotezea wakati wa kuzalisha fedha ( kwa 12:18:33wachaga they know how to manage tyme since they werw born)

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?

Ndugu yangu Moshi watu wajanja Mnama hawezi kufunga biashara kwenda kwenye maandamano, maandamano yanafanywa na Machalii wa Arusha, wengi hawana kazi.
 
moja katu ya mikoa tulivu tanzania ni pamoja na kilimanjaroo. Nawaza kutafuta fedha kúendesha maisha binafsi siwazi maandamano yananipotezea wakati wa kuzalisha fedha ( kwa 12:18:33wachaga they know how to manage tyme since they werw born)

sent from my blackberry 9860 using jamiiforums

watanzania waigeni wanakilimanjaro.!!!???shauri zenu.
 
Wanaotakiwa kushawishi watu kuandamana ni ccm kwani wao huku ndo wapinzani
NB: tangu vyama vingi 1995 ccm haijachukua ubunge moshi mjini

Mnama,

Kule Kibosho na Mwanga, nani anaongoza?
 
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?

Hata CCM hawaitaki tena Moshi....
 
Back
Top Bottom