OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Chadema Moshi tangu kuasisiwa kwa vyama vingi ni chama tawala moshi wnaongoza halmashauri na mambo yapo sawa ccm ni chama cha upinzani Moshi ndio wanapaswa kuandamana!chadema waandamane wakidai nn na wao ndio wanaongoza na maendeleo yanaonekana!??