Mgaya!
Hata huoni HAYA!. Hata kuandika Kilimanjaro hujui. Sio watano wanaotoka Kilimanjaro wewe. Maulidan Anna Komu(Toka Znz mgombea mwenza 2005 mkazi wa Zanzibar, mzaliwa wa Kwabijokha Zanzibar), Mhonga Saidi(Toka Kigoma). Halima Mdee(Mpare, Mwakilishi wa DSM, toka Jimbo la Ubungo). Lucy Owenya(Mchaga, Mwakilishi wa Kilimanjaro); Suzan Lyimo(Mchaga, Mkazi wa DSM, ameteuliwa kama mwakilishi wa Vyuo Vikuu. Mfanyakazi wa Miaka zaidi ya 10 UDSM). Grace Kiwelu(Mchaga, Mbunge wa Viti maalum term ya pili. Huyu wanachama wengi waliomba aendelee kutokana na mchango wake 2000-2005 hususani katika kujenga chama mikoani. Znz tuliunga mkono.).
Sasa we hujui hesabu? Hapa wachaga ni watano?
Na kwani uliambiwa kigezo cha kuteuliwa kilikuwa uchaga wao? Kwa hiyo unataka kusema kamati kuu iliyokuwa na watu wakigoma wengi kuliko kabila lingine ilipitisha vigezo vya kuwapendelea wachaga? Au kamati ya wazee iliyokuwa na wajumbe 5 mchaga akiwa mmoja tu ilipendelea wachaga? Au uongozi wa kitaifa, ambao mchaga ni mmoja tu. Wakati huo nakumbuka Zitto alikuwa mkurugenzi wa uchaguzi ndiye aliyehusika na kupitisha majina kama katibu wa kamati aliamua kupendelea wachagga? Au unataka kusema Zitto naye ni mchagga? Hebu muulizeni Zitto hapa kama aliamua kupendelea wachagga kama kigezo chake.
We haya tu
Asha
Sema wewe kiazi[/B].

Swali langu moja, Chadema ikianzisha miradi ya kuwaingizia pesa itakuwa kosa kisheria?
nope. As long as waanzishe kwa kufuata sheria.
Asha,
Nadhani unamuongelea MkamaP hapo juu na sio Mgaya
Swali langu moja, Chadema ikianzisha miradi ya kuwaingizia pesa itakuwa kosa kisheria?
Yameongewa mengi na sasa ni wakati wa matendo.
Wazalendo naona ni vyema tukakisaidia chama hiki.
Basi mwenye nacho kidogo tuanze kuchangia ili kukipa nguvu ya kupambana na kupigania haki.
Katika pita pita kwenye website ya chadema nimekutanana na haya:
Kama hutaweza kufika kwenye ofisi za CHADEMA basi tuma fedha katika akaunti zetu zifuatazo:
Akaunti ya "CHADEMA"
NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310
au
Akaunti ya "Freeman A. Mbowe and W.P. Slaa"
NBC Corporate Branch (Local currency) 011101016268
NBC Corporate Branch (Foreign currency) 011105010534
Jambo muhimiu na la lazima ni kwamba ili kufanikisha lengo letu la kuimarisha utawala bora na maendeleo endelevu ya kuridhisha, hatuna budi kudumisha misaada hii. MwanaCHADEMA hakikisha kadi yako unailipia ada ya mwaka, na kama una uwezo changia tawi lako ili CHADEMA kiweze kununua makaratasi na mabango ya uenezi. Wewe mzalendo mwenye uwezo zaidi tupe mchango wa kweli utakaodhihirisha mapenzi yako kwa chama. Kila fedha itakayopokelewa CHADEMA itaambatana na stakabadhi yenye jina la mtoaji au jina la 'kificho' kama mtoaji atapendelea. Tunaelewa na tunaheshimu sababu zao wale wote wasiotaka majina yao yahusishwe na CHADEMA hadharani.
Hivyo ndivyo kuchangia kwa hali na mali. Tunaamini na kudhihirisha kwamba hii ndiyo nguvu ya Umma.
Changia CHADEMA! Changia Maendeleo endelevu!
Asanteni sana
Source🙁http://www.chadema.net/maoni/changia.php)
Personal Accounts zinatumika vipi katika mambo ya chama?Akaunti ya "CHADEMA"
NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310
au
Akaunti ya "Freeman A. Mbowe and W.P. Slaa"
NBC Corporate Branch (Local currency) 011101016268
NBC Corporate Branch (Foreign currency) 011105010534
Jambo muhimiu na la lazima ni kwamba ili kufanikisha lengo letu la kuimarisha utawala bora na maendeleo endelevu ya kuridhisha, hatuna budi kudumisha misaada hii. MwanaCHADEMA hakikisha kadi yako unailipia ada ya mwaka, na kama una uwezo changia tawi lako ili CHADEMA kiweze kununua makaratasi na mabango ya uenezi. Wewe mzalendo mwenye uwezo zaidi tupe mchango wa kweli utakaodhihirisha mapenzi yako kwa chama. Kila fedha itakayopokelewa CHADEMA itaambatana na stakabadhi yenye jina la mtoaji au jina la 'kificho' kama mtoaji atapendelea. Tunaelewa na tunaheshimu sababu zao wale wote wasiotaka majina yao yahusishwe na CHADEMA hadharani.
Hivyo ndivyo kuchangia kwa hali na mali. Tunaamini na kudhihirisha kwamba hii ndiyo nguvu ya Umma.
Changia CHADEMA! Changia Maendeleo endelevu!
Asanteni sana
Nataja wafanyakazi wa Makao Makuu ya CHADEMA kadiri ninavyowafahamu nikimsahau mwingine najua nitasahihishwa na wengine.
Wakurugenzi/Maafisa waandamizi.
1.Antony Komu.-Mchagga wa Oldmoshi
2.John Mnyika -Msukuma sijui wa wapi.
3.Erasto Tumbo-Msukuma wa KisesaShinyanga.
4.Hemed Sabula -Msukuma sijui wa wapi
5.Benson Kigaila Masalamakali-Wa Dodoma sijui kabila gani.
6.Tundu Lissu-wa Singida sijui kabila gani
7. Mama Naomi-Mbeya
8.Suzan Kiwanga -Morogoro Kilosa sijui kabila gani
9.John Mrema -Mchagga wa Marangu.
10.Victor Kimesera -Mmasai wa Kiteto.
11.Erasto Shija -mwanza msukuma
12.Mama Mary Jumbe-Pwani Bagamoyo sijui kabila gani.
13.David Kafulila -Kigoma Muha.
14.Danda Juju -Iringa sijui kabila gani.
15.Omary Chitanda -Lindi sijui kabila gani.
16.Msafiri Mtemelwa Lipombo Nyamagano bin Musa -Rufiji sijui kabila gani.
17.Suzan Lyimo (MB)-Mchagga oldmoshi.
18.Regia Mtema -Tanga sijui kabila gani.
19.Jorojik Lawi-Manyara sina uhakika na kabila lake.
Wengine wataongeza kama nitakuwa nimewasahau baadhi ya wakurugenzi na maafisa waandamizi wa makao makuu ya CHADEMA.
Sijui hawa wanaoleta hoja ya uchagga wanataka dunia na watanzania waelezwe kitu gani ama wana maana gani .
Hii nchi tutaigawa kama tukiendelea na hii mijadala ya Kikabila kama hii ,swali la kuuliza ni je?wanasifa waliopo ama waliwekwa kiurafiki tuu?
Are they delivering?
Are they capable?
Do they have qualifications?
Mwisho wa kuchangia mjadala huu ni hapa.

Hapana mkuu usikimbie hapa ni sehemu ya kuwaonyesha watanzania kua ule unaosemwa ni uvumi kwa vitendo ,kuacha kuchangia huu mjadala hakuna madhara kwa mwanachama wa jf ila chama chenu.
Nivizuri ulivyoitaja orodha lakini ili iwe ya uhakika ilete hiyo orodha yote ki ofsi zaidi ili tuwanige wote wanao sema ukabila CHADEMA.
kuorodhesha hapa hatutoamini maana unaweza chagua na ukaacha utakavyo ni kama vile tu ktk ripoti ile iliyosomwa na Lisu tamko liko vingine na humu mnaandika vingine.
Na hao wabunge 5 iweje wote watoke kili.?? kati ya mikoa 26??. kusema tu hakusaidii ila doc za uhakika za kuprove unayosema.Siumeona JF ilivyopambana na MAFISADI JF wanaleta hoja ya ufisadi na wanaweka hapo mamikataba yote habishi mtu.Unadhani kama ingekua maneno bila vithibitisho wale jamaa wangeachia uwaziri na wengine kujizushia vifo??
Hizi ndizo zinaitwa dataz hapa JF..... Natumaini sasa wale wenye kudai kuwa makao makuu kumejaa wachagga watakuja na majina tofauti. Asante sana MK kwa dataz.
Huu ndio uzuri wa JF, data na hoja nzito zinashinda vioja na udaku.
mmh... that explains why she is not coming either...
Kama wewe unayo orodha inayopingana na hii si uiseme tu? ukisikia ubishi kwa ajili ya kubisha ndio huu sasa.
wewe subiri uje sikia sehemu walipoandika sijui kabila gani ndio utajua ,harafu huoni anaweza kutoka bagamoyo,lindi lakini ni mchaga
wewe waja kweli ndugu yangu
Huoni wabunge wakuteuliwa wanatoka mikoa mingine lakini wachaga .Taratibu mkulu