johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,933
- 141,901
Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza.
Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu Mwalimu.
Kulikoni chama kikuu cha Upinzani?
Maendeleo hayana vyama!