Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni?

Huyo Wolper anajiheshimu kitu gani?

Binti mzuri na shupavu asiye yumbishwa kirahisi. Kitendo cha kukataa milioni 50 ili ajiunge na kampeni za CCM ni heshima tosha kwa kile anacho amini na kaonyesha mfano kwa mabinti wakitanzania kwamba kila jambo lina wezekana.
 
Nimesikiliza maneno ya mzee Mkapa toka uzinduzi wa kampeni pale jangwani, Bukoba mjini na juzi Mtwara nikapima na uzito wa matendo ya Wema Sepetu nimebaini kama ipo tofauti basi ni kwa kuwa mmoja anasema lakini mwingine anatenda

Duh.. Kwahiyo hapa mkuu unataka kuniambia kwamba Mkapa ni sawa sasa na Wema Sepetu? Kweli nimefanya uamuzi sahihi kukihama hiki chama.
 
Naona mlivofilisika hadi kutumia wasagaji wasio na maadili. Ndo mana kina migiro na wenye heshima zao hawajoin upuuzi.
ID yako hii insonekana wewe ni mtoto wa kike mbona unawadhalilisha wenzako huoni kama unarusha mawe kwenye nyumba ya vioo wadada design hiyo mbona hata Chadema wapo.
 
Hivi kweli unategemea Wema aongee nini.Frankly sitaki hata kusikia aliongea nini, kwa kuwa najua it's rubbish.Level ya Wema Sepetu ndiyo level ya CCM ya kufikiri,so low.halafu eti wanataka waendelee kuwatawala watanzania.Haikubaliki.
Nauliza kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu ampigie kampeni Magufuli na hata kumpa rasilimali?

Kwa wanaouhudhuria,wema huwa anaongea nini?
 
Back
Top Bottom