Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chinembe, Oct 14, 2015.

 1. c

  chinembe JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2015
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 3,898
  Likes Received: 3,370
  Trophy Points: 280
  Nauliza kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu ampigie kampeni Magufuli na hata kumpa rasilimali?

  Kwa wanaouhudhuria,wema huwa anaongea nini?
   
 2. Y

  YONGOMA JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2015
  Joined: Jun 16, 2015
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni pilau la walafi. Punde utasikia yupo kwenye Kitengo cha kula kokoto.
   
 3. SHIMBA YA BUYENZE

  SHIMBA YA BUYENZE JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2015
  Joined: Dec 22, 2014
  Messages: 30,797
  Likes Received: 172,757
  Trophy Points: 280
  Si uende ukasikilize anachoongea? Ni Mtanzania huru na anachofanya ni haki yake ya kikatiba. Sasa tatizo liko wapi? Hata kama anaongea pumba or whatever you think, kama wenyewe wameona inafaa, kuna tatizo? Katika siasa unafanya cho chote unachoona kitakusaidia kushinda hata kama ni kumkaribisha mgombea ambaye huko nyuma ulikuwa unamwandama kwa shutuma za kila aina. Leo eti we unashangaa Wema kuhutubia?!
   
 4. W

  William-123 Senior Member

  #4
  Oct 14, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utasikia mkuu wa wilaya soon ccm ikishinda.
   
 5. B

  BEHOLD JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2015
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 2,005
  Likes Received: 2,076
  Trophy Points: 280
  Hujui ni mmoja wa Wajenzi Huru ndani ya System?!!
   
 6. ngarambi

  ngarambi JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2015
  Joined: May 8, 2015
  Messages: 302
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nilitaraji ungeliuliza mbona atuwaoni wakina aliyekuwa spika wa bunge au m/kiti wa uwt taifa na wengine kadhaa na yule Waziri sheria na katiba wakijoin na mgombea mwenza badala ya hawa comedian/wasanii.
   
 7. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,528
  Likes Received: 3,746
  Trophy Points: 280
  haa haa inawezekana tayar ni nyumba ndogo....
   
 8. anonymous x

  anonymous x JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2015
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280  Huna anaongea story zake na Diamond1 tu! Unadhani kuna jengine hapo
   
 9. m

  mshunami JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2015
  Joined: Feb 27, 2013
  Messages: 3,789
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Ndege wanaofanana mabawa huruka pamoja!!
   
 10. cleverbright

  cleverbright JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2015
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 1,023
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  na wewe kama kipaumbele cha mgombea wenu wa urais ni elimu, elimu na elimu sasa imekuwaje tena ameamua kushirikiana na muuaji namba moja wa elimu ya nchi hii bwana joseph mungai?
   
 11. Umslopagazi

  Umslopagazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2015
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 1,117
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Na kwa nini ukawa mmewaamini Jacline Wolper hadi akapost picha ya Guinea kutudanganya eti ni Mwanza?
  Kingwendu hadi kagombea.
  Kundambanda.
  Pro J, Hawa kwa nini mmewaamini?
   
 12. mycall

  mycall JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2015
  Joined: Dec 17, 2014
  Messages: 775
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Tabia na matendo ya hao unao wataja katika jamii unaweza kuwalinganisha na Wema !

  Sawa ni wasanii, lakini wanajiheshimu, wanaweza kuskilizwa na watu. Siyo wema ambaye labda wanaume wakware ndiyo anaweza kuwa shawishi.
   
 13. M

  MENGELENI KWETU JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2015
  Joined: Oct 23, 2013
  Messages: 5,477
  Likes Received: 10,498
  Trophy Points: 280
  Wema ni kioo cha ngono na uasherati hapa nchini. Hana sifa nyingine.
   
 14. Mgirik

  Mgirik JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2015
  Joined: Apr 27, 2013
  Messages: 10,594
  Likes Received: 3,181
  Trophy Points: 280
  kwan kingwendu,prof jay, na wolper wanautofauti gani na wema? Acheni dharau kambakoche
   
 15. lwa kalolo

  lwa kalolo Senior Member

  #15
  Oct 14, 2015
  Joined: Nov 24, 2014
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wema ni ngono tu hamna kitu hapo
   
 16. Umslopagazi

  Umslopagazi JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2015
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 1,117
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Huyo Wolper anajiheshimu kitu gani?
   
 17. Zagazaga

  Zagazaga JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2015
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 517
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Simple answers on serious questions... poor cccmmmm
   
 18. mycall

  mycall JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2015
  Joined: Dec 17, 2014
  Messages: 775
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Wanatofautiana sana kwamba
  - hawa ni wasanii vioo vya jamii ktk kuburudisha na kuelimisha
  - Huyu ni msanii, anayetumia kipaji chake kuhamasisha uasherati na migogoro ya kimapenzi nk.
   
 19. Root

  Root JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2015
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 24,245
  Likes Received: 10,445
  Trophy Points: 280
  Sababu ni mjinga na anaongoza wajinga wengu
   
 20. Umslopagazi

  Umslopagazi JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2015
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 1,117
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Acha majungu wewe dada ulimpa mumeo?
   
Loading...