Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni? | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chinembe, Oct 14, 2015.

 1. c

  chinembe JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2015
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,086
  Likes Received: 3,769
  Trophy Points: 280
  Nauliza kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu ampigie kampeni Magufuli na hata kumpa rasilimali?

  Kwa wanaouhudhuria,wema huwa anaongea nini?
   
 2. b

  boyayoparuparu JF-Expert Member

  #41
  Oct 14, 2015
  Joined: Jul 30, 2015
  Messages: 344
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm bado wapo usingizini wakifikiri kuwa watanzania ni wajinga ndio maana wanafanya vitu bila kufikiri,mtu ka huyo wema anapewa nafasi kwenye kuomba ridhaa ya wananchi ili uongoze taifa,ni kejeli kubwa sana kwa wapiga kura
   
 3. Diva Beyonce

  Diva Beyonce JF-Expert Member

  #42
  Oct 14, 2015
  Joined: Mar 6, 2014
  Messages: 12,953
  Likes Received: 6,067
  Trophy Points: 280
  Naona mlivofilisika hadi kutumia wasagaji wasio na maadili. Ndo mana kina migiro na wenye heshima zao hawajoin upuuzi.
   

  Attached Files:

 4. j.maturoo

  j.maturoo Member

  #43
  Oct 14, 2015
  Joined: Sep 29, 2015
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana hata sera c pesa tu kijanaaaaa
   
 5. j.maturoo

  j.maturoo Member

  #44
  Oct 14, 2015
  Joined: Sep 29, 2015
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ww unaesema ukawa tunajadili watu utabak hapo. HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKEEEEE!!!!!!!!!!!
  PEOPLE'S................
   
 6. Bandiwe

  Bandiwe JF-Expert Member

  #45
  Oct 14, 2015
  Joined: Oct 19, 2013
  Messages: 7,169
  Likes Received: 2,313
  Trophy Points: 280
  Na kile kizee chenu kichawi kilicho mkana Mungu ??!
   
 7. b

  bukore Member

  #46
  Oct 14, 2015
  Joined: Jun 5, 2014
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukawa aibu yao
   
 8. Magwangala

  Magwangala JF-Expert Member

  #47
  Oct 14, 2015
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 2,015
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Aiseh!
   
 9. c

  chicharito cv Member

  #48
  Oct 14, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Prof Jay utamfananifa na wema?
   
 10. SHIMBA YA BUYENZE

  SHIMBA YA BUYENZE JF-Expert Member

  #49
  Oct 14, 2015
  Joined: Dec 22, 2014
  Messages: 69,055
  Likes Received: 353,612
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha ishu ya Halima Mdee na Esther Bulaya. Maadili kweli kazi!
   
 11. s

  suplex city JF-Expert Member

  #50
  Oct 14, 2015
  Joined: Sep 29, 2015
  Messages: 434
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakubwa watakuwa wanacheza na shilingi.
   
 12. Diva Beyonce

  Diva Beyonce JF-Expert Member

  #51
  Oct 14, 2015
  Joined: Mar 6, 2014
  Messages: 12,953
  Likes Received: 6,067
  Trophy Points: 280
  Hao ni out of topic hapa ni wema na machangu wengine eti mama ongea na mwanao wakati hata kizazi hana
   
 13. kibanga 3

  kibanga 3 JF-Expert Member

  #52
  Oct 14, 2015
  Joined: Jul 6, 2015
  Messages: 1,388
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  nasikia amechukua nafasi ya mama mwenye nyumba
   
 14. wa kupuliza

  wa kupuliza JF-Expert Member

  #53
  Oct 15, 2015
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 770
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  maandishi mekundu ya nini uko kwenye siku za hatari?
   
 15. Horace Byatt

  Horace Byatt Senior Member

  #54
  Oct 15, 2015
  Joined: Sep 26, 2015
  Messages: 127
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Social life la Wema ndo linamshusha kimaadili.. lakini kiwango cha elimu cha Wema ni kikubwa kuliko viongozi wengi tu wa juu kwenye CCM. Kwao wanajivunia kuwa na msomi chamani.
   
 16. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #55
  Oct 15, 2015
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 3,187
  Likes Received: 2,600
  Trophy Points: 280
  Fatilia kwanza KINGWENDU hua anaongea nini
   
 17. n

  ndumbulwe Senior Member

  #56
  Oct 15, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hujiulizi kwa nini UKAWA wamemuamini Sumaye na kuwa msemaji mkuu kwenye mikutano ya Lowasa hivi huwa anaongea nini na bado anahudumiwa na kodi zetu? Ukizingatia UKAWA wanahubiri mabadiliko sasa hiyo timu ya wazee inataka kutupeleka kwenye ujana?
   
 18. n

  ndumbulwe Senior Member

  #57
  Oct 15, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na Wolper kachukua nafasi ya nani?
   
 19. n

  ndumbulwe Senior Member

  #58
  Oct 15, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na hao si riziki mlowajaza kwenye UKAWA je wanaishia kubinua midomo tu, hayo ndiyo maadili? Wagombea wengine hata hawajui kuoa ni nini na bado mnaongelea maadili!!!
   
 20. n

  ndumbulwe Senior Member

  #59
  Oct 15, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora mngebaki na Chadema yenu kuliko huu ukiwa maana mmepotea kabisa, chama kilichokuwa kinamwaga sera leo kimekuwa cha kusengenya nko mnashindwa hata kutumia akili kidogo tu mnaishia kuropoka tu. Hebu jifunze kiswahili kidogo hawa wanahamasisha mama zao siyo watoto wao au unataka kutuaminisha kuwa Wema hana mama? Hebu rudisheni akili zenu zikiendelea kukaa likizo nchi hii itavunja records za kuwa na mataahira wengi duniani
   
 21. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #60
  Oct 15, 2015
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,529
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Nimesikiliza maneno ya mzee Mkapa toka uzinduzi wa kampeni pale jangwani, Bukoba mjini na juzi Mtwara nikapima na uzito wa matendo ya Wema Sepetu nimebaini kama ipo tofauti basi ni kwa kuwa mmoja anasema lakini mwingine anatenda
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...