Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni? | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu mpaka kuhutubia kwenye mikutano ya kampeni?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chinembe, Oct 14, 2015.

 1. c

  chinembe JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2015
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,065
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  Nauliza kwanini CCM wamemuamini Wema Sepetu ampigie kampeni Magufuli na hata kumpa rasilimali?

  Kwa wanaouhudhuria,wema huwa anaongea nini?
   
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #81
  Oct 6, 2017
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,838
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  hahaha uzi huu unachekesha Vijana wa UFIPA STREET walimtukana sana wema leo hii wanamwita KAMANDA
   
Loading...