Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

Uliwahi kukaa ukajiuliza kwanini mwanachama au kiongozi yoyote ndani ya CDM anakuwa na mawazo yanayo kinzana na Mbowe anaonekana MSARITI??ZZK,Kitila Mkumbo,Chacha Wangwe,Dr Slaa,Watanzania hawatokuja wajisahihishe mwaka 2020 kwa huu undumila kuwili wa Freeman Mbowe,aliwatumia akina Dr Slaa kuzunguka Tanzania kutuaminisha kuwa Baba Rich ni fisadi mkubwa,cha kushangaxa tu baada ya kutemwa CCM Mbowe akampigia magoti eti aje CDM ili awe mgombea Urais,kumbuka katiba ya CDM inasema hivi ili uwe na sifa ya kugombea nafasi yoyote ndani ya chama shariti uwe umekaa ndani ya chama kwa mda usiopungua miez 6 lakini cha kushangaza Mbowe alivunja Katiba, Kwa kipindi kile mwaka mmoja kabla ya uchaguzi CDM ilikuwa imekubalika sana na rika zote hapa Tanzania nikiwemo na mimi,CCM itaendelea kushika hatamu miaka hata 50 mbela kwa sabab upinzani wamelala usingizi na hakuna wakuwaamusha tena, leo hii John Mnyika na Msingwa wakikutana na Baba Rich wanaona aibu kwa jinsi walivyokuwa wanamtukana Mzee wawatu,na kwa sasa ndo kashikiria mpini pale CDM
Sijui watu ndivyo tulivyo au watanzania ndivyo tulivyo, mimi nimezungumzia mgombea wa CCM wewe unazungumzia mambo ya Chadema, nikianzisha mada ya Chadema utaanza tena kujadili ya CCM dah.
 
Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako kabla ya kutoa kibanz kwa mwenzako,
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.

Hans Kitine alikuwa na kashfa hangeweza kutufaa
 
Na kitine aliyefisadi hela za mkewe za matibabu na yeye ni bora kuliko waliokula 1.5 trillion sio?
Hakuna aliyemsafi ndani ya CCM lkn kuna walio angalau, kwa CCM ni sawa na kuchagua boga lililo na unafuu kati ya maboga yaliyooza.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.

Mgombea wako si alikuwa Lowassa wa Chadema leo tena umerudi CCM??
 
mjanja sana wewe

sasa
hapo lowassa haujamweka mbona?

pia nani hapo unayemwona ni bora?
 
Soma sentensi yangu ya kwanza, tulitegemea Magufuli awe rais wa watanzania wote leo ni rais wa CCM hataki hata kuwaona wapinzani mbele yake.
 
Tulivyoo wanafiki hata hao uliowataja mmoja wapo akiwa Rais tutawaona hafai....maana watanzania vigeu geu na wanafiki
 
Nina furahi kuona kuwa hata Chadema wana amini kuwa Rais bora lazima atoke CCM .....Huyo unae muona si bora wana CCM tulimuona ni bora..kuliko hao ulio wataja...
Usijali lakini baada ya 2025 tutawaletea bora mwingine pengine atatoka kwa hao unao waona bora...Lakini kwa sasa kwetu Magufuli ni bora kabisa na alipatikana kwa demokrasia.

KIDUMU CHAMA BORA CHA MAPINDUZI
aisee!
 
mjanja sana wewe

sasa
hapo lowassa haujamweka mbona?

pia nani hapo unayemwona ni bora?
Lowassa alienguliwa kwa figisu lkn angekuwa rais bora kuliko Magufuli.

Kwenye post yangu ya kwanza nimetaja sifa zao kwa kifupi, moja ya sifa ya rais angalau awe mwanadiplomasia.

Magufuli diplomasia ni zero.
 
Baada ya kusema hayo, hatukumsikia tena mpaka kifo chake kilipo fika - kilicho sababishwa na kushambuliwa na mbwa wake mwenyewe. Wakati mwingine kuweni na akiba ya maneno. Usije ukalipwa hapa hapa duniani kwa kuchongewa na mdomo wako.

Ndo hao hao mbwa koko walijaribu kumng'ata Rais wetu ikabidi tushikilie "nyetu zetu"......by Dr. Shika
 
Magufuli anawatoa jasho kweli kweli Chama Cha Mapinduzi kinajua kuweka makombora sahihi kwa muda wake hili kombora ni mpaka 2020.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Kwa sababu tulikuwa tunataka kuwanyoooooooooooosha
 
Kwann chadema ilinunuliwa na mtu waliyetuaminisba kuwa n fisad kwa takriban 10 yrs na kubadil gia angan kumpa ridhaa ya kugombea urais ikiwatelekeza makada wake jangwan??
Hiyo single ya chadema kununua sijui nani, mara ufisadi...WATANZANIA TUMZICHOKA. ccm badilikeni au mtang'olewa kwa nguvu ya Umma. Time will tell
 
Kwa sababu tulikuwa tunataka kuwanyoooooooooooosha
Hiyo ni moja ya weakness za Magufuli zinazompunguzia ubora wake, kiongozi gani anayeona fahari kusikia wananchi wake wakinyooshwa.
 
Back
Top Bottom