Ha ha ha Naunga mkono hoja mia kwa miaCCM ni kama vile hawakuwaza kwamba kuna siku kutakuwa na upinzani aidha internally or externally. It has become a populist party ready to embrace anything or anyone ili kiendelee kutawala. They can side with corrupt pple, thieves, murderers, cons, you name it ili mardi tu kama hao waliotajwa wataihakikishia kutawala. CCM hii kamwe haiwezi kucheza "Samba" Wao wakifika golini, whateva it takes they just want to score, hawawezi kurudisha pasi nyuma kutengeneza formation na kusonga tena mbele. They have panicked, nervous,don't trust each other and worst of all they are too selfish.
The other factor kama ilivyoongelewa na baadhi yetu humu ni kwamba the party is now too big kwa hiyo CEO jk alitakiwa awe na mbinu mpya za kuiongoza. Kwa ukubwa ule style ya zamani ya Top - Down Management ni ngumu kuitekeleza. Mwalimu mfano aliwafahamu kivitendo karibu wenyeviti wote wa CCM mikoani na wilayani. I doubt kama JK anamfahamu hata Mwenyekiti wa CCM Kisarawe.
Halafu kingine ni kwamba viongozi wa CCM bado wanatawala kimazoea, hakuna tena weledi wala kanauni. Wapi chuo cha siasa Kivukoni?????? Je hao makatibu wa wilaya na wenyeviti wanasomea wapi uongozi? Have they managed anything before hizi kazi zao za sasa. Najua kuna watu watasema hata CHADEMA wamesomea wapi uongozi! I betcha kama na wao wakishika dola na mwendo ukawa kama huu wa CCM basi mambo still yatakuwa magumu. Mnakumbuka enzi zile kadi ya CCM ilikuwa mpake upigwe brash miezi mitatu? Siku hizi akina Nape just like Mrema enzi zile, sifa kuu ni kukusanya kadi za CHADEMA na kugawa za CCM as many as possible.
This party is tired, crooked, disorganized, weakened from within, unmanageable and gone... just gone! Wasitafute wachawi!!!!!!
Sasa kuna majibu ya haraka na ya pupa. Na yapo majibu yanayohitaji kutafakari kidogo. Kwa haraka mtu anaweza kusema kuwa CCM iko matatani kwa sababu CDM wanapandikiza mbegu ya chuki kwa wananchi. Mwingine (katika haraka yake) anaweza kuja na kusema CCM iko matatani kwa sababu wameshindwa kujivua "gamba". Mwingine naye katika kujaribu kuelezea kwanini CCM iko matatani anaweza kuja na kusema kwa sababu ndani yake kuna "migongano".
Naomba kupendekeza kwamba kuna jawabu la kina zaidi. Naamini vyote hivi tunavyoviona ni dalili tu ya tatizo (symptoms). Sasa kwa wale ambao mnaifahamu CCM labda tangu ikiwa TAA hadi leo hii mnaweza kutusaidia na kuwasaidia vijana wetu kuelewa kwanini CCM iko matatani leo hii? Kwanini inajitahidi kutumia nguvu sana kushinda uchaguzi wakati zamani ilikuwa rahisi sana. Kwanini kwa mfano mwaka 2005 ilifanya vizrui sana kuliko wakati mwingine wa vyama vingi na miaka mitano baadaye ikafanya vibaya kuliko wakati wowote wa historia yake?
Katika majibu yetu tujaribu kuleta yote bila kujali ukweli wake. Ieleweke siulizii majibu ya kisayansi; najaribu kufanya brain storming ambayo inaweza ikatuelewa kwanini hiki chama ambacho kiliwahi kuwa mashuhuri zaidi, kupendwa zaidi na hata kuhofiwa leo hii kinaonekana kigeni machoni pa watu?
Mi nadhani tatizo sio uzee, ila nikwamba ccm wameacha msingi na lengo kuu la kuanzishwa kwake, Yaani Chama cha kutetelea Wananchi wa Tanzania, be they peasants or employees, Badala yake kimekuwa chama cha watu wachache tu, tena wenye uhusiano na viongozi wa juu wa chama. Hicho ndio kimesababisha watu kubadili mtizamo wao na kuanza kuona upinzani ni bora kuliko ccm.Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.ccm waliokuwa wanaccm wameshazeeka na wengine wamekufa.kwa maana hiyo waliokufa wamekufa nayo na waliozeeka wamezeeka nao.ndo maana hata wale ambao wapo wanatumia siasa za mwaka 47.mia
Je, tunaweza kuona mlingano wa aina gani kati ya tawala zilizotiikiswa za nchi za kiarabu na Tanzania? Nchi ambazo yawezekana zimejitahidi kufanya "vitu" vingi sana kwa wananchi wao lakini wananchi wao wameinuka dhidi yao kwa mshangao wa watawala hao?
Je, tunaweza kuona mlingano wa aina gani kati ya tawala zilizotiikiswa za nchi za kiarabu na Tanzania? Nchi ambazo yawezekana zimejitahidi kufanya "vitu" vingi sana kwa wananchi wao lakini wananchi wao wameinuka dhidi yao kwa mshangao wa watawala hao?