Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

sio CCM peke yao bali watanzania wapenda maendeleo kwa ujumla...

utoto anaoufanya ndio unaomshushia heshima yake...wewe leo bungeni siumeona utoto ule hata mtoto wangu kawashangaa
 
mbowe ni mwanasiasa mzuri, ila anachopaswa kwa sasa ni kuwekeza kwa vijana wapya ambao anaamini atakijenga chama baada ya yeye, lkn kwa kujijenga yy siku asipokuwepo na chama kitakua hakipoo

Ibilisi una akili sana we jamaa!!! Yani umeongea kifupi na umeeleweka 100%
 
Mnaweza msiamini lakini kitendo "maarufu" cha kubadili gear angani ndicho kilichoicost Chadema na ukawa kwa ujumla.kura za ukawa zilipungua na kufika pale zilipofika kutokana kitendo hiki ambacho muasisi wake ni Mbowe.It was such a careless gambling that I doubt about the so called "IQ yake iko juu".kilichofunika fact hii ni kuimprove kwa matokeo ya urais kwa chadema kulinganisha na mwaka 2010 ingawa hili halikutokana na kubadili gear angani bali lilitokana na kuungana kwa vyama husika,kama sio muungano wao matokeo yangekuwa worse kuliko 2010 and hence fyongo ya kubadili gear angani ingekuwa very clear na Mbowe angekuwa na case ya kujibu kwa wanachadema.

Zingepungua mngeiba???sasa zinapunguaje kati ya majiji matano,manne yameenda Akawa ndo kupungua huko???hebu kueni serious bandugu
 
Mbowe ni shujaa wa kweli ambaye hatazaliwa tena Tanzania labda baada ya miaka mingine mia moja. CCM wameshikiwa na dola. Angalieni wanavyobabaika na Zanzibar. Jaamani ee! Hakuna pa kutokea kule! Wazee wamesumbuka mpaka basi! Mbowe hongera sana kwa kuikomboa Tanzania kutoka utumwa wa kuogopeshwa na dola. Kaza mwendo. Mungu yupo. Ipo siku atawaangusha wote chini na polisi wao kwani dalili ziko wazi kule Zanziba.
 
kwa viongozi wa juu wa cccmmm hakuna mwenye IQ ya juu kama Mbowe, kwa ufupi kitendo cha kumpokea lowassa,Sumawe,kingunge na wengine ni pigo kwa ccccmmm mwenye akili anaweza ona, na kilichofanywa na cccmmm kwa viongozi hao na wengine waliotoka au kukosa nafasi, kumewafanya walioko ndani cccmmm wajione hawako salama na kuondoa hofu ya kutoka cccmm, na kwa zile sheria kandamizi lazima zitaondoka ili kujenga uwanja sawa wa kucheza kisiasa ikiwa uko cccmm au nje ya cccmmm kwani hawana uhakika wa kuwepo cccmm kesho, Ni kwamba ameweza kubomoa roho ya cccm, na hii ni kwa faida ya Watanzania
 
Mnaweza msiamini lakini kitendo "maarufu" cha kubadili gear angani ndicho kilichoicost Chadema na ukawa kwa ujumla.kura za ukawa zilipungua na kufika pale zilipofika kutokana kitendo hiki ambacho muasisi wake ni Mbowe.It was such a careless gambling that I doubt about the so called "IQ yake iko juu".kilichofunika fact hii ni kuimprove kwa matokeo ya urais kwa chadema kulinganisha na mwaka 2010 ingawa hili halikutokana na kubadili gear angani bali lilitokana na kuungana kwa vyama husika,kama sio muungano wao matokeo yangekuwa worse kuliko 2010 and hence fyongo ya kubadili gear angani ingekuwa very clear na Mbowe angekuwa na case ya kujibu kwa wanachadema.

Uko BIAS sana . hakuna Uchaguzi uliokuwa mgumu kama huu kuwai kutokea Tanzania mpaka Mataifa ya Nje yalikuja kwa wingi Tanzania kushuhudia haijawai kutokea. Muungano wa UKAWA umesaidia Upande wa Zanzibar na idadi ya KURA zao ni ndogo. Bila ujio wa lowasa ndani ya UKAWA mambo yangekua mabaya sana Majimbo ya umasaini yasingepatikana. Ngome ya CHADEMA kanda ya Ziwa kufutika ni wazi kanda ya ziwa waliamua kumuunga mkono ndugu yao ndio maana wamefagia kuanzia udiwani, ubunge mpaka Urais. Acha uzuzu haitaji elimu ya Chuo kikuu kujua hilo.
 
Mnaweza msiamini lakini kitendo "maarufu" cha kubadili gear angani ndicho kilichoicost Chadema na ukawa kwa ujumla.kura za ukawa zilipungua na kufika pale zilipofika kutokana kitendo hiki ambacho muasisi wake ni Mbowe.It was such a careless gambling that I doubt about the so called "IQ yake iko juu".kilichofunika fact hii ni kuimprove kwa matokeo ya urais kwa chadema kulinganisha na mwaka 2010 ingawa hili halikutokana na kubadili gear angani bali lilitokana na kuungana kwa vyama husika,kama sio muungano wao matokeo yangekuwa worse kuliko 2010 and hence fyongo ya kubadili gear angani ingekuwa very clear na Mbowe angekuwa na case ya kujibu kwa wanachadema.

From 2mln to 6 mln kweli kura zimeshuka, sasa hivi wanapiga 800mln za ruzuku kweli iimeshuka, wabunge kutoka 40 mpaka sabini kweli cdm imeshuka........hah ha
 
Acheni kujitekenya na kicheka wenyewe, kiuhalisia heshima ya mbowe imeshuka mno kuliko mnavyodhani kinachombeba sasa ni huo umoja wenu wa ukawa. Ukiwa na makengeza kwenye ubongo huwezi tambua hilo
Umemsikia Magufuli alivyojitekenya na kucheka mwenyewe leo kule bungeni? Usiwabeze wapinzani wana mambo ya msingi ambayo wameyatekeleza vyema hadi saa hii. Mbowe ni shujaa kweli kweli. CCM hiyo yajitekenyatekenya na kujichekeshachekesha yenyewe kana kwamba wapinzani ndiyo walioifikisha Tanzania hapa ilipo.
 
Kweli hawampendi coz amekua tishio kwao
 
Mbowe hana lolote. Ni mpumbavu na lofa kama alivyopata kusema mzee Mkapa. Kama anataka kubaki kwenye game inabidi abadili mbinu. Hakuna mwnananchi aliyetayari kuona mbunge anakwamisha maendeleo, kwani serikali ya sasa inatatua kero za wananchi. Refer usemi wa Dr Kitila Mkumbo, wanasiasa wote wanaosubiria makosa ya CCM imekula kwao. Mmoja wapo ni mbowe, he is useless in today politics.
Mbowe is not useless. Weka akiba ya maneno. CCM ndiyo iliyoifikisha tanzania hapa ilipo. Mlihangaika sana kumhadaa Mbowe mkasahau kuwa watu wa jimbo lake wako macho kuliko propaganda zenu ovu.
 
Mbowe huyu huyu kilaza aliyetaga form 6 au kuna mwingne?binafsi namdharau sana

aliyekuambia kufaulu ndp kipimo pekee cha akili ni nani? Na wale ambao hawakufanya mitihani na majina yakatoka wamefaulu inakuaje? Na wale wanaofaulu kiujanja ujanja tuwaiteje? kumbuka kitu kinaitwa born a leader.
 
acheni kujitekenya na kicheka wenyewe, kiuhalisia heshima ya mbowe imeshuka mno kuliko mnavyodhani kinachombeba sasa ni huo umoja wenu wa ukawa. Ukiwa na makengeza kwenye ubongo huwezi tambua hilo

safi ningekuwa na kamia ningekupa
huo ndo ukwel na utastand
 
Back
Top Bottom