Mh,,ngoja nikaswaki kwanza,ntarudi........
Sifa za kijinga tu hana lolote zaidi ya kufikiria kuwatapeli watu kama alivyomtapeli lowassa
Mmmm..hiyo ID ya ibillisi! Sema mchango wako mzurimbowe ni mwanasiasa mzuri, ila anachopaswa kwa sasa ni kuwekeza kwa vijana wapya ambao anaamini atakijenga chama baada ya yeye, lkn kwa kujijenga yy siku asipokuwepo na chama kitakua hakipoo
Kamanda umewagusa na hawawezi ku coment uzi huu watapita kama hawauoni. Waende zao na kunuka midomo.
CCM hawapendi MTU asiekuwa na bei kama MBOWE ndio maana kila likitajwa jina lake wanaNUNA
Sifa. Za kijinga. Kuna lipi la ajabu alilofanya zaidi ya kung'ang'ania madarakani na kukiuza chama kwa Lowassa? Ukubwa wa IQ yake mwisho ufipa kwa nyumbu.
Mbowe hana price Tag mgongoni... Hanunuliki kama akina ZZK na Slaa, Mbowe ni Mbunifu sana ... Mbowe hana Njaa kwani ni tajiri toka alipozaliwa ... CCM wanajua kuwa Mbowe ndo alisababisha CCM wakashindwa kwenye uchaguzi wa Mwaka huu Only walichakachua kupitia Lubuva na Jecha ...