Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

Hana lolote zaidi ya kutumia vijana wampaishe. Wewe ukiwa mmoja wao. Mbowe sio mwanasiasa ila ni msaka tonge.CCM haiwezi umiza kichwa kwa sababu ya mtu kama mbowe. Kwetu sisi hana tofauti na shibuda au marehemu mtikila.
 
Umesahau Mbowe ana sifa moja kuu na ni ya Kipekee ambayo Wanasiasa wengi Tanzania na Afrika hawana:

MBOWE ANATHAMINI NA KUTOA NAFASI KWA KILA MWANASIASA NDANI YA CHADEMA NA UKAWA KWA KUJALI KIPAJI CHAKE NA TAALUMA YAKE BILA KUHOFIA KUMEZWA.
Ndio maana kwenye Jamii wenye Upeo mdogo uwa hawamuelewi Mbowe, iloa wenye akili zao wanamkubali sana jamaa hana Tamaaa, na angekuwa na tamaa angeng'ang'ania wamu zote agombee Urais yeye na kudidimiza vipaji vya wanasiasa wapya kama baadhi ya Viongozi wa Vyama vingine vya Upinzania vilivyowapoteza wanasiasa mahiri wa miaka 1995
 
mbowe ni mwanasiasa mzuri, ila anachopaswa kwa sasa ni kuwekeza kwa vijana wapya ambao anaamini atakijenga chama baada ya yeye, lkn kwa kujijenga yy siku asipokuwepo na chama kitakua hakipoo
Kama vijana wenyewe ni akina Msindai,Mgeja,Masha,Sumaye,Madeye,Makongoro,Lowassa bado Chadema isubiri sanda tu
 
Kuna watu wana maisha mepesi sana, yaani hapo kazi yake leo kamaliza na ushahidi anao. Na mimi natafuta kazi ya kumsifia mtu bana.
 
Kamueleze Chacha Wangwe huu ujasiri wa Mbowe tuone kama atakuelewa. Mbowe ni dikteta na anaongoza chama kwa mkono wa chuma. Hata wewe unayemsifia hapa jaribu kujishaua eti unautaka uenyekiti wa CHADEMA tuone kama kesho utaliona jua. Historia itamhukumu kwa kuua upinzani wa kweli Bongo kwa tamaa zake za pesa via gia za angani. Otherwise he is a good hustler!

Sasa atakaa kimyaa bila kuandaa manpower ikifika 2020 tena haooo mnaanza kuokota makapi kutoka CCM. Aanze sasa kuwaandaa akina Saanane, Malisa na vijana wengine waje wamrithi mikoba huko mbele ya safari. Anzeni kuandaa mgombea wenu right away.
 
Kukaa na Kutoa Andishi kama hili kwa kusifia kitu ambacho hakina sifa kinazopewa ni Ujinga. Ni Kipi ambacho ccm wanachomwogopa Mbowe? Unadhani Siasa ni kulumbana na Kupigiana kelele kama Panya road? Msimamo wa mbowe ni Upi? Kubishana na katiba au kuwaongoza Wabunge Wasioelewa ni Ipi Thamani Yao? Wakati Mwingine bora ukae nyumbani umsaidie mkeo kupika kuliko kuja na Bandiko la kitoto kama Hili.
 
Kwa jinsi anavyo wanyima usingizi undhani watampenda?wao walivyo mhadaa Zito wakajua wamemaliza sasa hivi haawamini macho yao
 
Kamueleze Chacha Wangwe huu ujasiri wa Mbowe tuone kama atakuelewa. Mbowe ni dikteta na anaongoza chama kwa mkono wa chuma. Hata wewe unayemsifia hapa jaribu kujishaua eti unautaka uenyekiti wa CHADEMA tuone kama kesho utaliona jua. Historia itamhukumu kwa kuua upinzani wa kweli Bongo kwa tamaa zake za pesa via gia za angani. Otherwise he is a good hustler!

Sasa atakaa kimyaa bila kuandaa manpower ikifika 2020 tena haooo mnaanza kuokota makapi kutoka CCM. Aanze sasa kuwaandaa akina Saanane, Malisa na vijana wengine waje wamrithi mikoba huko mbele ya safari. Anzeni kuandaa mgombea wenu right away.
Ninaimani we unaushahidi wa kutosha
 
Tumeshawajua hao ccm,ona kipindi kile walivyojifanya kumpenda zitto baada ya kutoswa CDM!Kwao mzuri ni yule asiyewakaba koo!
 
Ujumbe umeupata huo ndio ukweli, wengi washapoteza imani na huyo mbowe wako ila sio vibaya ukiendelea kumpigia debe


wamepoteza imani kuanxia lini maanake kipimo ni kura toka 0...mpaka six.4 m...ccmtoka100%sasa ni 50% upo ay wewe unatumia kipimo gani!
 
Acheni kujitekenya na kicheka wenyewe, kiuhalisia heshima ya mbowe imeshuka mno kuliko mnavyodhani kinachombeba sasa ni huo umoja wenu wa ukawa. Ukiwa na makengeza kwenye ubongo huwezi tambua hilo

Wewe ni mfano halisi wa wenye makengeza kwenye ubungo! Labda imeshuka chumbani kwako, Sio TZ!
 
Ovyooo,yaan unauliza watu,alafu unaanza jibu mwenyewe?kweli ulofa na upumbavu huu wa mwaka
 
Hahahahaaaa, hawampendi kwa kipi? Mwanasiasa wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tz. Kosa lake- kubadili gia angani, jambo lisilokubalika ktk. jamii ambayo inathamini uadilifu, sifa na.1 popote kwa anayetaka kuwa kiongozi wa nchi. Eti cdm wamepata faida, sawa, lakini nilisema na nasema tena Mbowe ni sawa na muuza bangi au unga kwani nao hupata faida kubwa ila hawana heshima ktk. jamii. Kwa watu wastaarabu, waadilifu, wenye fikra pevu, wenye mapenzi mema na nchi hii hawawezi kubaliana na upuuzi alioufanya Mbowe. Ni mfano mbaya kwa wanasiasa wachanga na vizazi vijavyo. Ameshusha heshima yake na ya cdm. Pia hafai kuwa KUB.
Vijana wetu wameheuka kwa upuuzi wa huyu bwana kwani walibaki kuzungusha mikono hewani kama wehu. Lazima serikali isahihishe hali hii, vijana wetu watambue sifa na.1 ni uadilifu kwa kiongozi.
Hakuna ambae hampendi Mbowe, bali amejidharaulisha. Dr. Slaa amejijengea heshima na ni mfano mzuri kwa wanasiasa wachanga na vizazi vijavyo.
 
Umeajiri watu wangapi na unaingizia taifa sh. ngapi kwa mwaka ndugu?

Anatumia mafumbo, huenda ana maanisha huyu na si mbowe.
 

Attachments

  • 1448021446296.jpg
    1448021446296.jpg
    78.9 KB · Views: 401
Back
Top Bottom