Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

Mbowe ni mwanasiasa wa kipekee sana kuwai kutokea tz. Tokea mbowe awe mwenyekiti grafu ya chdema inapanda kwa kasi sana. Ntajie mwenyekiti wa chama chochote tz ikiwemo ccm ambacho grafu inapanda kwa kasi. Sasa kwa statistics hiyo kwa nini wasimshambulie na kumwogopa? Mbowe go baba go.
 
Sodakta, pia umesahau ya kuwa ni mtu wa kutoa missada ya kila namna kwa wanyonge ikiwapo kuwatetea. Na si mwongo ni mkweli sana. Pia ana maono ya mbali.
 
CCM hawapendi MTU asiekuwa na bei kama MBOWE ndio maana kila likitajwa jina lake wanaNUNA

Kanunuliwa na lowasa bei chee kaiuza taasi hana nafasi ccm akili ndogo ccm kuna hazina ya viongozi sema unapepelea disko la bure labda
 
Kanunuliwa na lowasa bei chee kaiuza taasi hana nafasi ccm akili ndogo ccm kuna hazina ya viongozi sema unapepelea disko la bure labda

mwenye bei wanajulikana CCM mlishamaliza kazi, Dr Slaa na Zitto
 
wamepoteza imani kuanxia lini maanake kipimo ni kura toka 0...mpaka six.4 m...ccmtoka100%sasa ni 50% upo ay wewe unatumia kipimo gani!

Hizo kura zigawe kwa cuf.nccr.chadomo.nld utajua mbowe ana ngapi? kama sio 1m
 
mbowe ni mwanasiasa mzuri, ila anachopaswa kwa sasa ni kuwekeza kwa vijana wapya ambao anaamini atakijenga chama baada ya yeye, lkn kwa kujijenga yy siku asipokuwepo na chama kitakua hakipoo

Katika watu walioongea pointi siku nzima ya leo ni wewe boss...karibu tule kitimoto mkuu.
 
Mnapiga kelele mwenyewe anamalizia hela aliyopata kwa ma mvi! Akitoka hapo ana anza kutafuna ruzuku. Mbowe makini sana m namkubali kama nnavyo mkubali gwajima anekula sadaka za waliochoka kwa kununua chopa. ccm hata haimuogopi mbowe. Bali yeye ndo anaiogopa ccm.
 
nimewahi kumsikia mbunge mmoja wa ccm akisema wakati wa kampeni anamwomba mbowe asirudi bungeni .
 
Nimekuwa nikijiuliza sanasana maswali mengi, hivi ni kwanini CCM hawampendi Mbowe? Na wamekuwa wakihangaika sana kutengeneza propaganda kila kukicha?

Leo nimepata walau kaufahamu kidogo baada ya tathmini ndogo naamini waungwana wataungana na mimi.

Nilichokijua kikubwa ambacho ni mwiba wa CCM ni misimamo ya Mbowe na ujasiri wake,

Pili ni nguvu ya ushawishi, kiukweli Mbowe ana nyota ya ushawishi kama hukubali Muulize Magufuli, ili mlazimu kutumia kauli mbiu ya mabadiliko ili walau apate kusikilizwa na raia

IQ ya Mbowe iko juu sana, anaona mambo ya msingi na kuyafanyia kazi kabla mtu wa kaiwaida hajaona. Angalia usajili wa Lowasa, umuhimu wa jambo lile utaonekana baadae.

Lakini kikubwa sana kinachowatoa jasho CCM ni uwezo wa Mh Mbowe kujenga hoja.....mwenye upeo ongeza mengine unayoyaona kw Mh Mbowe.
Mbowe hana lolote. Ni mpumbavu na lofa kama alivyopata kusema mzee Mkapa. Kama anataka kubaki kwenye game inabidi abadili mbinu. Hakuna mwnananchi aliyetayari kuona mbunge anakwamisha maendeleo, kwani serikali ya sasa inatatua kero za wananchi. Refer usemi wa Dr Kitila Mkumbo, wanasiasa wote wanaosubiria makosa ya CCM imekula kwao. Mmoja wapo ni mbowe, he is useless in today politics.
 
Nimekuwa nikijiuliza sanasana maswali mengi, hivi ni kwanini CCM hawampendi Mbowe? Na wamekuwa wakihangaika sana kutengeneza propaganda kila kukicha?

Leo nimepata walau kaufahamu kidogo baada ya tathmini ndogo naamini waungwana wataungana na mimi.

Nilichokijua kikubwa ambacho ni mwiba wa CCM ni misimamo ya Mbowe na ujasiri wake,

Pili ni nguvu ya ushawishi, kiukweli Mbowe ana nyota ya ushawishi kama hukubali Muulize Magufuli, ili mlazimu kutumia kauli mbiu ya mabadiliko ili walau apate kusikilizwa na raia

IQ ya Mbowe iko juu sana, anaona mambo ya msingi na kuyafanyia kazi kabla mtu wa kaiwaida hajaona. Angalia usajili wa Lowasa, umuhimu wa jambo lile utaonekana baadae.

Lakini kikubwa sana kinachowatoa jasho CCM ni uwezo wa Mh Mbowe kujenga hoja.....mwenye upeo ongeza mengine unayoyaona kw Mh Mbowe.

Ukimaliza kumpa sifa ambazo hana, naomba ukumbuke ukweli unabaki palepale.. CCM IMESHINDA.
 
Hawampendi koz ni mpigaji,kamtoa hela ya kutosha lowasa,isitoshe kawachangisha wananchi hela na kuzitafuna
 
Back
Top Bottom