Kwanini CAG, TRA na TAKUKURU Wasimchunguze Makonda?

Mkuu unajikanganya bila hata kuona aibu
Kwa hiyo hutaki makampuni makubwa yajenge nchi yao?
Tatizo huwa hamfuatilii habari za Makonda mnaishia kubeza mpaka pale mnapoona kuna utamu utamu unajitokeza mnajaribu kumwaga shubiri.
Makonda hapokei pesa ya mtu,anachofanya yeye ni kutengeneza gharama,na kuhamasisha wabia wa maendeleo
Ndio maana unaona anapokea vitanda na magodoro,majengo ya wodi za wazazi,hao wafadhili wanamaliza wenyewe wanamkabidhi yeye,Takukuru wanaingiaje hapo?
kwa hali ya kibiashara ilivyo kwa sasa ambapo makampuni yanapunguza wafanyakazi na kupunguza matumizi yasiyo na msingi ni vigumu kutoa misaada mikubwa unless wanamuhofia kwahiyo wanatoa huku rohoni wanaumia maana mtu kama huyo ukimkatalia mchango inamaana umemkatalia..sasa uwe vizuri kwenye biashara zako otherwise unapotea kwenye biashara.tumeona ambao wako kinyume walivyofanyiwa mfano mzuri ni Mbowe biashara zake,mwingine tofauti ambae amefanyiwa aliyofanyiwa mbowe ni nani?au yeye pekee ndio alikuwa na matatizo?
 
Tatizo watu hata mambo ya maendeleo ya wananchi wanaingiza siasa. Sipendi watu wa dizain hii, kama binadam ana mapungufu yake ila kwa mazuri tuyaunge mkono..
Achunguzwe tu.Tuanze na vyeti vyake kisha vyanzo vyake vya mapato.
Wahenga walisema" lisemwalo lipo".
 
Wewe mtoa mada usishangae ile Gari aina ya Nissan nyeupe ikakutembelea ikiwa na watu wasiojulikana.hapo sasa sijui utajitete vipi huyo mtu usijaribu kumgusa hata kidogo.Kwa maelezo zaidi nenda kamuulize Nape atakueleza.
ile ilisha chomwa moto labda ije premio kama haijapelekwa gereji
 
Kwani Rizmoko wakati wa mshua wake alikua anachunguzwa?Kwa sasa after Sizonje ni Bashite, wengine wapo pale kwa njaa zao tuu lakin nchi yetu wafanya maamuzi ni watu wawili pekee.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda (Daudi Bashite?) ni miongoni mwa wakuu wa mikoa maarufu sana kwenye serikali hii inayoongozwa na Rais John Magufuli. Pamoja na mambo mengine ni mtu anayaonekana ana dhamira ya kuibadili Dar es salaam kuwa mji wenye maendeleo ya vitu mbali mbali.

Makonda anatoa hela na ahadi kwenye miradi mbali mbali wakati mwingine ahadi zake zinafikia hadi mabilioni ya shilingi. Inasemwa kwamba alipoingia tu Ofisini kama Mkuu wa Mkoa alibadili kabisa muonekano wa ofisi ile tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Mzee Meck sadiq.

Kuleta maendeleo si jambo baya lakini kama kiongozi wa umma ni lazima hela za kuleta hayo maendeleo vyanzo vyake vifahamike na viwe safi na kusiwe na muingiliano wa kimaslahi kati ya hao watoa hela na nafasi uliyo nayo kisiasa.

Ahadi kama kusaidia kujenga jengo la BAKWATA ni ahadi kubwa sana na kama Makonda ataitekeleza basi inabidi aeleze hela za kutekeleza ahadi hiyo kaitoa wapi. Juzi tumeambiwa yeye mwenyewe kwa "juhudi zake" amefanikisha kukarabati magari kadhaa ya Polisi yaliyokuwa yameshindikana kukarabatiwa kwa kipindi kirefu sana.

Inabidi TRA wachunguze kama hao "wanaomsadia" Makonda wanalipa kodi stahiki kwa biashara zao wanazofanya ama wanatumia "misaada" wanayotoa kwa Makonda kama kichaka chao cha kujificha wasilipe kodi stahiki wanayotakiwa kulipa?

CAG naye achunguze kama kweli fedha za umma ndizo zinatumika kwenye miradi ambayo makonda anaiwezesha kutekelezwa. Hii ni muhimu kwani kwa mujibu wa sheria zetu ofisi ya Mkuu wa mkoa hazina fungu la maendeleo bali Halmashauri zilizo katika mkoa husika.

CAG aangalie kama maafisa maduhuri na masuhuri kwenye Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam na Ofisi ya Mkoa ni wao wanaoidhinsha matumizi ya fedha hizo ama kazi yao ni kuandika tu taarifa baada ya fedha kutumika.

TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?
Nilikuwa nafikir wewe Una akili kumbe boya kichwani jitafakari
 
Kama Kuna mtu anakutuma anakudanganya mwambie ajitokeze yeye mwenyewe ushauri wa bure usikubali kutumika
 
Kuna dhana watu wengine kuzielewa ni vigumu sana kwa kuwa kwao wao Maendeleo ni vitu. Huko Jamaica kulikuwa na muuza mihadarai maarufu sana anaitwa Christopher Coke al maarufu "Dudus".

Huyu bwana alikuwa ni "mkombozi" wa wananchi wa maeneo aliyokuwa anaishi ya Tivoli Gardens kwenye jiji la Kingston. Dudus alinunua madawa ya Hospitalini, alitoa misaada ya chakula, alisomesha watoto wa eneo lao, alikuwa hadi analipa ankara mbali mbali za watu wa eneo lake. Lakini Dudus alikuwa ni mhalifu.

Makonda kukabidhi misaada mbalimbali si hoja yangu, lakini ni muhimu kwetu kama jamii kujua hao waliotoa hiyo misaada ni kina nani. Hao watoa misaada wanalipa kodi stahiki na jee hiyo misaada wanayoitoa haina sura ya kirushwa?

Kuna watu wanadai kwamba hatujazoea kuona mambo ya "kimaendeleo" yanayofanywa na Makonda, lakini wanasahau kwamba Makonda hajaikuta Dar es salaam haina huduma za kijamii kabisa, Dar ilikuwa inaendelea hata kabla ya yeye kuja Dar kutafuta maisha.

Na kuwakumbusha tu kwamba hata wale tunaowaona ni mafisadi leo kama kina Habinder Singh na wenzake hata wao walikuwa ni watoa misaada. Na kwani kuna ubaya gani kujua walioshika ofisi zetu za umma fedha wanazotumia kufanyia mambo yao wanazipata wapi?

Hivi watu safi tunaogopa nini kama watakaguliwa. Zogo lote hili la kudhani wao haifai kukaguliwa linatoka wapi?
 
kwa hali ya kibiashara ilivyo kwa sasa ambapo makampuni yanapunguza wafanyakazi na kupunguza matumizi yasiyo na msingi ni vigumu kutoa misaada mikubwa unless wanamuhofia kwahiyo wanatoa huku rohoni wanaumia maana mtu kama huyo ukimkatalia mchango inamaana umemkatalia.
wewe unaweza kutoa mamilioni yako kwa kumuhofia binadamu?
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda (Daudi Bashite?) ni miongoni mwa wakuu wa mikoa maarufu sana kwenye serikali hii inayoongozwa na Rais John Magufuli. Pamoja na mambo mengine ni mtu anayaonekana ana dhamira ya kuibadili Dar es salaam kuwa mji wenye maendeleo ya vitu mbali mbali.

Makonda anatoa hela na ahadi kwenye miradi mbali mbali wakati mwingine ahadi zake zinafikia hadi mabilioni ya shilingi. Inasemwa kwamba alipoingia tu Ofisini kama Mkuu wa Mkoa alibadili kabisa muonekano wa ofisi ile tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Mzee Meck sadiq.

Kuleta maendeleo si jambo baya lakini kama kiongozi wa umma ni lazima hela za kuleta hayo maendeleo vyanzo vyake vifahamike na viwe safi na kusiwe na muingiliano wa kimaslahi kati ya hao watoa hela na nafasi uliyo nayo kisiasa.

Ahadi kama kusaidia kujenga jengo la BAKWATA ni ahadi kubwa sana na kama Makonda ataitekeleza basi inabidi aeleze hela za kutekeleza ahadi hiyo kaitoa wapi. Juzi tumeambiwa yeye mwenyewe kwa "juhudi zake" amefanikisha kukarabati magari kadhaa ya Polisi yaliyokuwa yameshindikana kukarabatiwa kwa kipindi kirefu sana.

Inabidi TRA wachunguze kama hao "wanaomsadia" Makonda wanalipa kodi stahiki kwa biashara zao wanazofanya ama wanatumia "misaada" wanayotoa kwa Makonda kama kichaka chao cha kujificha wasilipe kodi stahiki wanayotakiwa kulipa?

CAG naye achunguze kama kweli fedha za umma ndizo zinatumika kwenye miradi ambayo makonda anaiwezesha kutekelezwa. Hii ni muhimu kwani kwa mujibu wa sheria zetu ofisi ya Mkuu wa mkoa hazina fungu la maendeleo bali Halmashauri zilizo katika mkoa husika.

CAG aangalie kama maafisa maduhuri na masuhuri kwenye Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam na Ofisi ya Mkoa ni wao wanaoidhinsha matumizi ya fedha hizo ama kazi yao ni kuandika tu taarifa baada ya fedha kutumika.

TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?
Huyo hana lolote wezi wako tanroad wamejifungia tu kwa baraka za malaika,CAG miaka yote anakuta ufisadi tanroad ila watu wanapeta tu..sijui huko tanroad wanaishi malaika kma yeye
 
kama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.
Pambana na hali yako acha wivu
 
wewe unaweza kutoa mamilioni yako kwa kumuhofia binadamu?
sijaelewa unataka nikujibu nini?maana kama utakuwa na miaka 18 na kuendelea usingeuliza swali hilo,iko wazi wafanyabiashara wengi wanajitolea sana kwenye kufanikisha mambo yanayohusu chama kilichopo madarakani kuliko kusaidia vyama vya upinzani(kujipendekeza)ili kulinda biashara zao.
 
Back
Top Bottom