Mtoto wa Baba yule kashabebwa na mbeleko siku nyingi sana na Baba yake.
Yaliyo nyuma ya pazia ni mengi sana maana hata hao wote wenye mamlaka ya kumchunguza wamepigwa ganzi
Ni swala la muda tu, hata huyo baba ipo siku hiyo mbeleko itamshinda kubeba!
Mtoto wa Baba yule kashabebwa na mbeleko siku nyingi sana na Baba yake.
Yaliyo nyuma ya pazia ni mengi sana maana hata hao wote wenye mamlaka ya kumchunguza wamepigwa ganzi
kama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.
Catching the Tiger by the tail (?).kama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.
hahaha hii ya kutoa ofa ni kuwahadaa wananchi kuwa ni mchapakaz indeed kumbe ni dalali na anakula 10paseekama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda (Daudi Bashite?) ni miongoni mwa wakuu wa mikoa maarufu sana kwenye serikali hii inayoongozwa na Rais John Magufuli. Pamoja na mambo mengine ni mtu anayaonekana ana dhamira ya kuibadili Dar es salaam kuwa mji wenye maendeleo ya vitu mbali mbali.
Makonda anatoa hela na ahadi kwenye miradi mbali mbali wakati mwingine ahadi zake zinafikia hadi mabilioni ya shilingi. Inasemwa kwamba alipoingia tu Ofisini kama Mkuu wa Mkoa alibadili kabisa muonekano wa ofisi ile tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Mzee Meck sadiq.
Kuleta maendeleo si jambo baya lakini kama kiongozi wa umma ni lazima hela za kuleta hayo maendeleo vyanzo vyake vifahamike na viwe safi na kusiwe na muingiliano wa kimaslahi kati ya hao watoa hela na nafasi uliyo nayo kisiasa.
Ahadi kama kusaidia kujenga jengo la BAKWATA ni ahadi kubwa sana na kama Makonda ataitekeleza basi inabidi aeleze hela za kutekeleza ahadi hiyo kaitoa wapi. Juzi tumeambiwa yeye mwenyewe kwa "juhudi zake" amefanikisha kukarabati magari kadhaa ya Polisi yaliyokuwa yameshindikana kukarabatiwa kwa kipindi kirefu sana.
Inabidi TRA wachunguze kama hao "wanaomsadia" Makonda wanalipa kodi stahiki kwa biashara zao wanazofanya ama wanatumia "misaada" wanayotoa kwa Makonda kama kichaka chao cha kujificha wasilipe kodi stahiki wanayotakiwa kulipa?
CAG naye achunguze kama kweli fedha za umma ndizo zinatumika kwenye miradi ambayo makonda anaiwezesha kutekelezwa. Hii ni muhimu kwani kwa mujibu wa sheria zetu ofisi ya Mkuu wa mkoa hazina fungu la maendeleo bali Halmashauri zilizo katika mkoa husika.
CAG aangalie kama maafisa maduhuri na masuhuri kwenye Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam na Ofisi ya Mkoa ni wao wanaoidhinsha matumizi ya fedha hizo ama kazi yao ni kuandika tu taarifa baada ya fedha kutumika.
TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?

Fact na ndo hali halisi ilivyoo...unajua vijana wa kitanzania tumekalia kumsema mtu kwa mabaya tuu hata akitenda yaliyo mema bado awe mbaya...na hii inatokana na kila negative thngs za Freedom of speech mwisho watu wanaongea pumba 2 yan mtu achunguzwe kwa kusaidia jamii is that true inabd achunguzwe akiyeandka hii articleMkuu unajikanganya bila hata kuona aibu
Kwa hiyo hutaki makampuni makubwa yajenge nchi yao?
Tatizo huwa hamfuatilii habari za Makonda mnaishia kubeza mpaka pale mnapoona kuna utamu utamu unajitokeza mnajaribu kumwaga shubiri.
Makonda hapokei pesa ya mtu,anachofanya yeye ni kutengeneza gharama,na kuhamasisha wabia wa maendeleo
Ndio maana unaona anapokea vitanda na magodoro,majengo ya wodi za wazazi,hao wafadhili wanamaliza wenyewe wanamkabidhi yeye,Takukuru wanaingiaje hapo?
Hivi wewe unamuona CAG hana akili?Unafukuri mkuu wa TAKUKURU hajui kusoma alama za nyakati?Katika kila utawala kuna wasiogusika (UNTOUCHABLE).Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda (Daudi Bashite?) ni miongoni mwa wakuu wa mikoa maarufu sana kwenye serikali hii inayoongozwa na Rais John Magufuli. Pamoja na mambo mengine ni mtu anayaonekana ana dhamira ya kuibadili Dar es salaam kuwa mji wenye maendeleo ya vitu mbali mbali.
Makonda anatoa hela na ahadi kwenye miradi mbali mbali wakati mwingine ahadi zake zinafikia hadi mabilioni ya shilingi. Inasemwa kwamba alipoingia tu Ofisini kama Mkuu wa Mkoa alibadili kabisa muonekano wa ofisi ile tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Mzee Meck sadiq.
Kuleta maendeleo si jambo baya lakini kama kiongozi wa umma ni lazima hela za kuleta hayo maendeleo vyanzo vyake vifahamike na viwe safi na kusiwe na muingiliano wa kimaslahi kati ya hao watoa hela na nafasi uliyo nayo kisiasa.
Ahadi kama kusaidia kujenga jengo la BAKWATA ni ahadi kubwa sana na kama Makonda ataitekeleza basi inabidi aeleze hela za kutekeleza ahadi hiyo kaitoa wapi. Juzi tumeambiwa yeye mwenyewe kwa "juhudi zake" amefanikisha kukarabati magari kadhaa ya Polisi yaliyokuwa yameshindikana kukarabatiwa kwa kipindi kirefu sana.
Inabidi TRA wachunguze kama hao "wanaomsadia" Makonda wanalipa kodi stahiki kwa biashara zao wanazofanya ama wanatumia "misaada" wanayotoa kwa Makonda kama kichaka chao cha kujificha wasilipe kodi stahiki wanayotakiwa kulipa?
CAG naye achunguze kama kweli fedha za umma ndizo zinatumika kwenye miradi ambayo makonda anaiwezesha kutekelezwa. Hii ni muhimu kwani kwa mujibu wa sheria zetu ofisi ya Mkuu wa mkoa hazina fungu la maendeleo bali Halmashauri zilizo katika mkoa husika.
CAG aangalie kama maafisa maduhuri na masuhuri kwenye Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam na Ofisi ya Mkoa ni wao wanaoidhinsha matumizi ya fedha hizo ama kazi yao ni kuandika tu taarifa baada ya fedha kutumika.
TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?
Kuna watu wanafikiri Makonda anatoa hela mfukoni mwake...makondo ni mpiga debe tu.Mkuu unajikanganya bila hata kuona aibu
Kwa hiyo hutaki makampuni makubwa yajenge nchi yao?
Tatizo huwa hamfuatilii habari za Makonda mnaishia kubeza mpaka pale mnapoona kuna utamu utamu unajitokeza mnajaribu kumwaga shubiri.
Makonda hapokei pesa ya mtu,anachofanya yeye ni kutengeneza gharama,na kuhamasisha wabia wa maendeleo
Ndio maana unaona anapokea vitanda na magodoro,majengo ya wodi za wazazi,hao wafadhili wanamaliza wenyewe wanamkabidhi yeye,Takukuru wanaingiaje hapo?
Wewe jamaa una nia ovu kwa sisi watumishi hususani viongozi wa hizo taasisi ulizotaja!
Yaani unataka tumchunguze right hand man wa Mkulu wa Kaya!
Hivi huoni unatuambia tuchunguze watu ambao tutakuta source ya hayo yote ni kule kule?!