Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

CCM WATAKAPO MSIMAMISHA NDG LOWASSA,WE SAY BIASHARA ITAKUWA IMEKWISHA NO HUGE MONEY TO I'TS CAMPAIGN,AND I'TS A TOTAL SUITABLE WEAPON OF DESTRUCTION TO CDM,<tommorow viewer>
 
KUZUNGUMZIA SUALA FULANI AU KUKEMEA JAMBO,KWA MTU AMBAYE UPO NJE YA SYSTEM ESPECIAL KWA NCHI ZETU ZA KIAFRIKA NA JAMBO LA BURE KABISA,APO ULIPO EBU JARIBU KUKEMEA CHOCHOTE MF. BARABARA FLN IMEJENGWA HOVYO MKANDARASI LAZIMA ASHITAKIWE UONE UTEKELEZAJI WAKE,tena si ajabu wewe unayelalama unaweza ingia matatizoni SO BETTER PERCEIVE
 
Hapo unapoona Dr.Slaa ndio mfia nchi,haachi likapita,ataongea,atakemea,atapongeza na ataagiza vijana wake bungeni kesema.Sasa jitu limepiga bunda tu ka mwili umepooza af tumpe urais.
 
Kwenye Suala la IQ NO!very big &#8203;NOOOO!!!.Its not that direct.Siyo watu wote walio kimya wana IQ kubwa.Wengine wanajisitiri akiongea ni pumba tu.Mr EL kwa alivyocheza muvi ile ya mvua nchini Thailand namuondoa kweny IQ criteria.
 
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.

amen!! milele
 
tatzo lako usingekuwa umetumika kuja kumshambulia mh lowassa.Lowassa siku zote nikwambie tu ni mtu anayefnya kaz kwa bidii yote kuhakikisha kila mwananchi anapta huduma za msingi,nadhn unakumbuka miaka ya nyuma alivhokuwa wazir mkuu kila aliyekuwa anamuona au anajuwa lowassa anakuja mkoani kwake alikuwa akikesha usiku kuhakikisha anaweka mambo sawa ili fagio la chuma lisimkute,angalia sasahv serikalini kila kanyosha miguu hakuna mwenye time,ukiingia huko maofisin utakuta watu wanacheza game tu kweny computer zao hakuna mwenye habar na wananchi wanaoishi kweny maisha magumu,najuwa unafhm hili vizur sema tu umejitoa akili ili watoto wako washibe,lowassa ana historia ya mambo mengi aliyoyafnya kweny hii kulingnisha na kiongoz mwingne kati ya hawa wanaotajwa kutaka nafs ya juu,hakuna hata mmoja anaye msogelea kwa kupiga kazi
 
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.

Imetumwa eee???. Kuandika kwenyewe shida halafu unamwombea mtu kula.
 
Imetumwa eee???. Kuandika kwenyewe shida halafu unamwombea mtu kula.

usipende kulaumu sna,kwasabu we mwenyewe ulichokiandka hapo ukirudia kusoma utagunduwa kuna makosa.ila naamini hata kama amekosea ujumbe umefk kuwa ana muomba Mungu ili mh lowassa aje kuingoza nchii hii
 
Yes uko verry right Kayamgo. Behaviour of a person may reflect his actions. Sasa kama matatizo yote hayo yeye kimya tuuuu. Inamaana hawaz hata kushauri??. Anasubir awekwe madarakan. Aende akaongize wenzake huko mondul wanapomkubal
 
Kwenye Suala la IQ NO!very big &#8203;NOOOO!!!.Its not that direct.Siyo watu wote walio kimya wana IQ kubwa.Wengine wanajisitiri akiongea ni pumba tu.Mr EL kwa alivyocheza muvi ile ya mvua nchini Thailand namuondoa kweny IQ criteria.

mkuu lowassa ni mashine.
Ww mwenyewe shaid
huitaji kuambiwa sema tu umekuwa na kichwa kigumu
 
Ukiona mtu anamkimbiza mwizi kimya kimya basi ujue ana nia ya kumuua huyo mwizi!
 
usipende kulaumu sna,kwasabu we mwenyewe ulichokiandka hapo ukirudia kusoma utagunduwa kuna makosa.ila naamini hata kama amekosea ujumbe umefk kuwa ana muomba Mungu ili mh lowassa aje kuingoza nchii hii

Hiyo "I" ni ya makusudi kwa lafudhi ya ndugu zake wanaompa shavu baba yao wa monduli nenjamburjek
 
Hiyo "I" ni ya makusudi kwa lafudhi ya ndugu zake wanaompa shavu baba yao wa monduli nenjamburjek

mkuu pole pole tu dawa itakuingia utabadilika,uache kutetea mashetani ambao hawauziki.nakuombea kwa Mungu uje uwone membe akigaragazwa mchana kweupee na Lowassa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…