Money speaks louder tha words!Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei,kukenua kenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyoua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana!
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama matakataka wengine.
Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
ni mgonjwa sana,anakosa nguvu ya kusastain maongezi
Money speaks louder tha words!
Una tabia za kichawi, obvious utakuwa mchawi!!
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei,kukenua kenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?