sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,043
Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa pub na wazazi wake kisa anakunywa pombe.
KIJANA SIO MLEVI NI MNYWAJI TU.
Pombe ni dawa ya tumbo nashangaa kuna wazazi wa kikristo hawataki watoto wao waimarishe afya ?
Hata paulo alisema masikini anywe pombe asahau shida zake
KIJANA SIO MLEVI NI MNYWAJI TU.
Pombe ni dawa ya tumbo nashangaa kuna wazazi wa kikristo hawataki watoto wao waimarishe afya ?
Hata paulo alisema masikini anywe pombe asahau shida zake