Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,987
- 831,554
Lete na zingine wajameni ili tujifunze maadili
Sijipendi...!? Ban ni noma Baba V!!!!Naogopa red card
Lete na zingine wajameni ili tujifunze maadili
Ni mnenguaji ama?
mmmmh, hii kali. kweli nguo zinatusitiri, khaaaa... tumbua hiloooo
Lete na zingine wajameni ili tujifunze maadili
Ujifunze maadili au upate maraha???
Weka picha kiongozi
Naona kama sio kweli
We umejuaje?
Wewe unavaa?
Mkuu unaweza eleza ulifanya Vipi utafiti wako, wapi na lini. Je sample size ni ya watu wangapi?