demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,288
- 15,238
Kuna vijana wawili wa jirani yangu wamemaliza kidato cha 6 mwezi wa Tano....mmoja wao amepangiwa Mafinga na wanatakiwa waripoti tarehe 9 june. Tumepata kuona jina lake katika orodha iliyopatikana kwenye PDF kutoka Tovuti rasmi ya Jeshi yaani [www.jkt.go.tz]...
Ila jina a huyo mwengine halikuonekana, na hata anasema hajaona jina hata la mwanafunzi mwenzake yeyote kutoka shuleni kwao...
Tulikuwa tunajipa moyo huenda waka upload list ya wanafunzi wengine wa kujiunga na Jeshi, ila naona kimya mpaka sasa ukizingatia june 9 ndio wanawasili makambini kwa wale waliochaguliwa tayari...
Ningependa kuwauliza wajuzi na waelevu wa masuala ya huko Jeshini. Nini Mustakabadhi wa hawa wanafunzi ambao hawajachaguliwa?