Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.
Hehehe haya sasa ona sisi tunaofwata ya wenzetu tunavyo tukanana hadi kutona roho huku, na ona sasa tunvyopapatika kujaribu kueleza inakueje mabwana zetu tunaokufa na kuua kwa ajili yao wanakaa meza moja!!
Aliyeilaani hii ngozi mh!

Sijui oo huo ni ukristo wa kweli, kuonyesha upendo, oo sijui maandiko yamesema sijui nini, oo sijui dini yangu vumilivu! Y'all know shit all aisee!
 

We mgalatia usikuwa na busara unaweza kulinganisha waabudu sanamu la mzungu ambao wanakula Nyamafu nguruwe na WAISLAMU?

Amma huna adabu mtoto wa kike we!
Wakristo wote wanamuabudu SHETANI (LUCIFIER) Kila siku.

Wanakula vya HARAMU ktk matumbo yao.

Na wanawaona wazungu ni kama shemeji na wadigo zake na Yesu!

Wanaamini kuwa mungu wao ana mama, mjomba, shangazi, na alijitoa muhanga ili wao wapone!

Eti mungu alimpenda sana mwanawe yesu akaamua kumtoa kafara ili awaokoe nyie misukule.

We ukupewa hilo penzi la KUUWANA kutoka kwa huyo mungu anaetoa watoto wake kafara UTALIKUBALI??

Acheni KUKUFURU NYIE! Jahannam ni mbaya mno.
Na wataingia humo MAKAFIRI NA WASHIRIKINA.
 
I heard about that nashangaa kwanini wamruhusu kafiri aingie msikitini ihali yeye ni mla nguruwe.

Tulimwambia huyo papa akaoge JANABA kwanza ndio aingie msikitini.

Na papa alishatamka hadharani kuwa MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Lkn maslahi ya dunia ndio yaliomfanya AFE KAFIRI kwa kuabudu masanamu.
 
Tupe source, kwanza inabidi tuamini hayo unayosema kama ni kweli,

Ina maana hizo picha zote na hizo link hujaziona?? Acha uvivu wa kusoma mkuu.haya nenda page ya pili na tatu utakuta vyote.
 
Hapo sasa
 
Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
 
Tulimwambia huyo papa akaoge JANABA kwanza ndio aingie msikitini.

Na papa alishatamka hadharani kuwa MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Lkn maslahi ya dunia ndio yaliomfanya AFE KAFIRI kwa kuabudu masanamu.
Allah sio Mungu.
 
Kwa hio mtu asiefanya dhambi YESU HANA MPANGO!
Au sio!
Katika Surat Maryam, Kuruan inasema kuwa (19) 71.72. Inasema, wala hapana yoyote ila mwenye kuifikia jehanamu, maana ni wajibu wa Mola wako umekwisha kuhukumiwa, nasi tutawaokoa wale wamchao na kuwaacha madharimu hali wamepiga magoti.

Kuruan inakiri kuwan kila Waislam wote wamekwisha hukumiwa kuingia Jehannam kwa maana huo ndio wajibu wa Allah kuwaingiza waislam Jihannam.
 
Muhammad kafa na dhambi, ndio maana hajui atafanywa nini.

Teh teh teh teh!

Maxshimba !

Jibu swali la mleta uzi.
KWANINI VIONGOZI WA VATICAN WANAINGIA MSIKITINI!??

Usianze kuchafua uzi wa mtu! Au ntakuripoti sasa kwa kubadili Ids.
 
weka picha

Ndugu wana JF.Ningependa kupata ufafanuzi kwa wale wanaojua kwamba kwanini Papa huingiaga msikitini ilhali yeye sio muislam na ukizingatia kwamba waislam hawaruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini???
 
Tulimwambia huyo papa akaoge JANABA kwanza ndio aingie msikitini.

Na papa alishatamka hadharani kuwa MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Lkn maslahi ya dunia ndio yaliomfanya AFE KAFIRI kwa kuabudu masanamu.

Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 371
Imeletwa kwenu na Anas:
Nabii wa Allah alisema: Watu watatupwa katika Jihannam, na Jihannam itasema. "Je, hakuna watu zaidi wa kuingia huku Jehannam?" (50.30) Mpaka Allah atakapo weka Mguu wake Jehannam, na Jihannam itasema, Inatosha, inatosha (qat! qat!)

Katika Sahihi hadith hapo juu, tumesoma kuwa, naye Allah atauweka mguu wake Jihannam, kwasababu Jehannam bado ilikuwa inaita watu waingie huko na au labda ilikuwa bado haija jaa. Je, wapi tumesoma kuwa Allah aliutoa Mguu wake Jehannan?
 
Teh teh teh teh!

Maxshimba !

Jibu swali la mleta uzi.
KWANINI VIONGOZI WA VATICAN WANAINGIA MSIKITINI!??

Usianze kuchafua uzi wa mtu! Au ntakuripoti sasa kwa kubadili Ids.
Kuwabatiza Makafir wa Kiarabu
 

Umefufuka lini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…