Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
-
- #61
Walio wazima hawamuhitaji DACTARI Bali wale walio WAGONJWA!Asema BWANA!
Papa naona anaifata Injili kwa ukamilifu kabisa!
UKRISTO ni UPENDO!
Na haya ndiyo mafundisho ambayo mara zote Yesu Kristo alifundisha na watu wakashangaa!
DINI ya kweli hutumii nguvu kuijua,utaiona tu kwa matendo ya wanaoifuata!!
Papa aliingia msikitini mwaka 1992 nchini JORDAN na akiwa na sheikh mkuu wa Jordan na wakaswali pamoja.
acha sigara -----.
Papa aliingia kwenye sinagogi sio msikiti.
Hamna tatizo mbona lowasa anaingiaga kutoa michango
Biblia inasema "MSIFUNGE NIRA NA WASIOAMINI' Kumbuka DANIEL,MESHACK NA ABEDNEGO katika uwanda wa Dura walikataa kuitumikia miungu japo walikuwa na upendo wa kweli wa Mungu.Kwanini PAPA yeye alikubali kuitumikia miungu???
Yaani Papa kuingia msikitini siku moja tayari keshafunga nira na wasioamini?
Kama si Yesu Kula na kulala pamoja na wapagani huko alikokuwa anahubiri injili,unafikiri leo ukristo ungekuwapo?
Lazima tujue kuwa dini pia zinatofautiana,wakati waislamu wanaamini sana masuala ya usafi wa mwili kama mavazi,kutawadha,uelekeo wa kusali(kuelekea Mecca),kuvua viatu wakati wa kusali,wakristo wanaamini katika usafi wa roho.
Kujaribu kulinganisha dini hizi mbili kwa vigezo hivyo ni kupoteza muda!

Kwani Waislamu hawaamini? unaongea vitu gani?
Kama haruhusiwi kusali mbona Papa amesali..si kweli kuwa waislam hawaruhusu mtu asiye kuwa muislam aingie msikitini. mtu yoyote anaruhusiwa kuingia msikitini bila kujali dini yake ili mradi afate masharti kama vile kuvua viatu na kwenda kutia udhu. sema akishaingia msikitini haruhusiwi kusali hadi asilimu. ACHA KUKALILI NDUGU.
Waislam wanaamini kwamba YESU alikufa na kufufuka??
Anatafuta mabomu na magaidi kisha infor anapeleka kwa "polisi wa dunia"
Yesu alikula na wasioamini na kuwapa INJILI akupewa yeye INJILI ila papa ALISWALISHWA!! Ina maana alimtumikia ALLAH na Mohamed S.W.Je ni haki kwa mafundisho ya mkristo??
What are u trying to achieve poor soul?
Usijaribu kuchokoza masuala ya imani. Zipo waaay beyond your level of thinking
Awapeleka polisi kwanza Mapadri wanaof.ir.a watoto makanisani.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
the reasons are not as important as u try to make them......follow your path!Faith and reason! Imani isiyoeleweka inatia shaka