Kwanini anga lina rangi ya blue?

Haya ni maoni yangu tu binafs,usiku anga ni jeusi na nyota tunaziona ,mchana kwa kuwa nguvu ya jua ni kubwa sana na anga nalo ni kubwa kupita kiasi ule weusi unapungua na kuonekana kama bluu hivi.View attachment 1245657
 
Hivi kuna teknolojia yoyote duniani ya kukamata particle za light na kuzihifadhi? Maana theorists wanataka kutuaminisha kuwa mwanga ni particles, je wameisha wahi kuziona, au hizo particle au photons ni nini hasa..
 
Hili ndilo jibu sahihi
 
Hivi kuna teknolojia yoyote duniani ya kukamata particle za light na kuzihifadhi? Maana theorists wanataka kutuaminisha kuwa mwanga ni particles, je wameisha wahi kuziona, au hizo particle au photons ni nini hasa..
Zinabaki kuwa ni theory tu mkuu.. wazungu ndio kazi zao hizo.

Sema zinatumika katika application mbalimbali kama mambo ya xray hayo au visible light inatumika kwenye production ya umeme (solar energy). Sijajua kama kuna teknoloji ya kuzikamata.. labda swali why wazikamate?
 
Mi huyu jamaa sijamsoma hata kidogo aliye mwelewa anisaidie
 
Hapa ni sehemu ambapo bahari mbili zinakutana (Atlantic na Pacific), je kitaalamu hili lina uhusiano upi wa mwanga, rangi na hoja ulizozitaja hapo juu?
 
Mi huyu jamaa sijamsoma hata kidogo aliye mwelewa anisaidie
Ninacho maanisha ni kwamba kwa mujibu wa neno la Mungu juu kuna maji. Hayo maji ndio yanaonekana kama blue kwa chini.

Kama maji ya Bahari yanavyoonekana ya Blue na maji ya Juu ya Mbingu yanaonekana ya Blue.

Swali kwa nini anga lina rangi ya blue ni kwamba juu ya anga kuna maji .

Sasa kwa nini maji yakiwa mengi kama bahari yanaonekana ya blue hiyo wana science au wenye uelewa waje waseme.
 
jibu lake ninalo sema me sipendi show off kama king kiba
 
Hapa ni sehemu ambapo bahari mbili zinakutana (Atlantic na Pacific), je kitaalamu hili lina uhusiano upi wa mwanga, rangi na hoja ulizozitaja hapo juu?View attachment 1245895
Asante Sana kwa mfano huu sikutaka kwenda ndani zaidi ila nataka kukujuza kuwa macho yetu yanatoa rangi ya blue kwa sehemu ambazo mwisho wake huko mbali . Sasa mfano ulio toa huo unausisha layer za chini kabisa za bahari mbili izo .... Kiufupi bila kwenda kisayansi rangi ya maji inayoonekana ni blue ina kina kirefu Sana ambacho upeo wa macho yako huwezi fikia .. but upande wenye rangi tofauti utazamacho kwa macho Kama rangi tofauti ni rangi ya kitako Cha bahari, Yaani kitaalaam macho yameona mwisho wa bahari hiyo .... Mfano swimming pool uliflect rangi ya kuta kuwa ya maji ... Nadhani umenisoma
 
Inaonekena blue kwasababu ya mwanga wa jua Kuakisi Maji ya Bahari.

Kama unavojua, Asilimia kubwa ya sehemu ya dunia ni BAHARI.
Sahihisha hapo.maji ya bahari yanaonekana yana rangi ya blue kwa kuakisi rangi ya blue inayo onekana angani.
 
Kwasababu ya nitrogen kuwepo kwa wingi kwenye atmosphere
 
Inaonekena blue kwasababu ya mwanga wa jua Kuakisi Maji ya Bahari.

Kama unavojua, Asilimia kubwa ya sehemu ya dunia ni BAHARI.
Wakati huo huo inasemekana bahari na ziwa inaonekana blue sababu ya kuakisi anga
 
mbona usiku sio blue? kwasababu hakuna kitu kingine kinachoonekana basi utaona iyo rangi na jicho lilichagua iyo rangi ya blue
 
Anga lina onekana la blue kwa sababu the blue colour scatter more than any colour

The same scattering property of light linajibu kwa nn anga huonekana jekundu kipind jua linazama
 
Big up umeleta kitu hatana mm huwa najiuliza lakini siku wahi pata majibu lakini shukurani kwa wana hao wametupa mwangaza [emoji109]
 
unaona blue kutokana na muda Mkuu,ukiwa na njaa hakuna rangi utaacha ona zote zitakuwepo
 
Asilimia kubwa ya Dunia ni maji, bahari imeipita ardhi kwa asilimia za mraba..

Anga inapata rangi ya BLUE kutokana reflection ya jua kupiga kwenye maji, yaani UBULUU wa Anga ni kioo cha maji..

Wakati wa Usiku Anga huwa nyeusi, kwasababu hakuna Jua linalomurika maji likapeleka mwanga wa Blue Angani.. 😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…