Okay, sasa hio Quantum Physics unayotaka kunifundisha wewe umesoma wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakujibu hili, ongeza umakini kusoma ninacho kiandika, ili kuokoa muda na kuepusha kurudia maswali ambayo majibu yake yapo kwenye hoja zangu.
Tuendelee ....