Kwanini akatae?

Kwanini akatae?

1.Usiseme hana mtu. Au hadi awe na mtu mtaani kwenu!?

2.Pia kutongoza ni hatua ya kwanza tu, ila kukubaliwa ni juhudi zingine.

3.Usije kutumia nguvu nyingi kutongoza bali nguvu nyingi zielekeze kwenye uhamasishaji wa kukukubalia ombi lako.
 
Back
Top Bottom