Kwanini Adam.......?

Kwanini Adam.......?

Ok¡ swali la nyongeza, MUNGU aliona vyema... sisi kuwa uchi, ina maana kama wasingekula tunda tungebaki hivyohivyo?
Jibu ni ndiyo, kulingana na maandiko ya Biblia ni sawa, Kama Adamu na Eva wasingekula tunda, mwanadamu angeendelea kuishi akiwa uchi kabisa bila kuona aibu, hofu, wala hitaji la nguo
 
Nini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?
 
Ok¡ swali la nyongeza, MUNGU aliona vyema... sisi kuwa uchi, ina maana kama wasingekula tunda tungebaki hivyohivyo?
Katika mtazamo wa kitheolojia, Adamu na Eva hawakuwa "tupu." Walikuwa wamevikwa utukufu, nuru, na uwepo wa Mungu. Nuru hii ilitosha kabisa kuwasitiri, kiasi kwamba hawakuhitaji kitambaa au nguo ya kushonwa.
 
Nini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?
Hapa ni kisayansi sasa sio kiimani ni hisia tu hormones huchochea kuleta msisimuko na hormone zilizomo kwa mwanaume zinachochoea haraka zaidi
 
Katika mtazamo wa kitheolojia, Adamu na Eva hawakuwa "tupu." Walikuwa wamevikwa utukufu, nuru, na uwepo wa Mungu. Nuru hii ilitosha kabisa kuwasitiri, kiasi kwamba hawakuhitaji kitambaa au nguo ya kushonwa.
asante... Mkuu¡ kwa nini MUNGU aliwavisha ngozi kama mavazi, ambayo sina uhakika kama yaliwasitiri vyema miili yao¡
 
Nini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?
Ndiyo nimekuambia kuwa ni mambo ya kibiology kuwa unapoona maungo ya kike, ubongo wako unatafsiri picha hiyo kingono, ubongo unamwaga kemikali ya Dopamine (kemikali ya hamu na motisha) na kuchochea tezi kutoa Testosterone (kichocheo kikuu cha hamu ya ngono kwa wanaume na wanawake). Kemikali hizi husababisha mapigo ya moyo kwenda kasi na kuongeza msukumo wa damu kwenda kwenye viungo vya uzazi.
 
asante mkuu... Kama ni dopamine, ambayo inatusababisha. kwanini YESU anasema ukimtamani mwanamke unakuwa unazini tena?
 
Yes... mkuu¡ Yoda alikuwa anasema niya kutunga.
Kinachoitwa mapepo na dini ndio story za kutunga, hayo mnayoita mapepo inawezekana ni magonjwa au kundi fulani la matatizo ya akili.
 
kinacho kufanya uwe na hamu sio kuona maungo hayo ila tafsiri yake kichwan kwako ndo inakupa hamu
Ila ni kweli mkuu...
maana leo nilikuwa naenda kupata chakula, niko kwenye line sasa mbele kuna mdada nyuma mdada, hapo ni kwenye makambi. sasa nikawa najitahidi kuweka space kama foot 1 hv ila huyu wa nyuma kanikaribia yani ni 0 distance, sasa matiti yake yakawa yanagusa mgongo wangu na yanamonda vizuri kweli, khaa¡ mzigo ukasimama duh¡ ikabidi niingize mkono mfukoni isionekane lakin wapi..... nikaweka hymn kwenye sim "praise to the LORD the ALMIGHTY" nika concetrate mambo yakawa safi.....
 
Kinachoitwa mapepo na dini ndio story za kutunga, hayo mnayoita mapepo inawezekana ni magonjwa au kundi fulani la matatizo ya akili.
Sio demon tu mkuu, kuna mwingine anaumwa ila ugonjwa hauonekani, vp kuhusu hili....
 
Kuna matatizo mengi ya afya ambayo ni vigumu kutambulika kwa aina ya madokta, vipimo na mifumo ya afya katika nchi zetu masikini au kulingana na kipato cha mtu.
 
Back
Top Bottom