Kwanini Adam.......?

Kwanini Adam.......?

Katika mtazamo wa kitheolojia, Adamu na Eva hawakuwa "tupu." Walikuwa wamevikwa utukufu, nuru, na uwepo wa Mungu. Nuru hii ilitosha kabisa kuwasitiri, kiasi kwamba hawakuhitaji kitambaa au nguo ya kushonwa.
Nyoka hapo zamani kabla hajalaaniwa kwenye hiyo bustani ya Eden alikuwa kiumbe wa aina gani? Alikuwa na miguu, anatembea na mwenye akili kama za binadamu hadi anapiga story na binadamu?
 
Ila ni kweli mkuu...
maana leo nilikuwa naenda kupata chakula, niko kwenye line sasa mbele kuna mdada nyuma mdada, hapo ni kwenye makambi. sasa nikawa najitahidi kuweka space kama foot 1 hv ila huyu wa nyuma kanikaribia yani ni 0 distance, sasa matiti yake yakawa yanagusa mgongo wangu na yanamonda vizuri kweli, khaa¡ mzigo ukasimama duh¡ ikabidi niingize mkono mfukoni isionekane lakin wapi..... nikaweka hymn kwenye sim "praise to the LORD the ALMIGHTY" nika concetrate mambo yakawa safi.....
hongera mkuu mm hap shetani agepata nafasi
 
Nyoka hapo zamani kabla hajalaaniwa kwenye hiyo bustani ya Eden alikuwa kiumbe wa aina gani? Alikuwa na miguu, anatembea na mwenye akili kama za binadamu hadi anapiga story na binadamu?
nyoka ndo alikuwa kiumbe mwenye akili kuliko wanyama wote binadamu na wanyama wanaweza kuwasiliana
 
Asante...
Mungu alisema mkila tunda mtakufa, je... Hawa angeendelea kuishi na yeye?
Mungu mjuzi wa vyote kama alijua tunda linakuja kuliwa, kwa nini aliliweka humo bustanini?

Je ni makusudi ili binadamu waje kuteseka?

Mungu mjuzi wa vyote, aliruhusuje nyoka kuingia bustanini kumdanganya Eva?

Huyo Mungu kama alijua hilo tunda halipaswi kuliwa, kwa nini aliruhusu liwepo humo bustanini?

Na kama halipaswi kuliwa, Alishindwaje kumzuia nyoka asimdanganye Eva?

Wakati nyoka ana amdanganya Eva ale tunda, Huyo Mungu alikuwa wapi?

Au huyo Mungu aliplan kabisa, Nyoka aingie bustanini amdanganye Eva, wale Tunda kisha awafukuze bustanini?

Hizi hadithi zenu za Hekaya za Biblia ni ILLOGICAL kabisa. Hazina logic kabisa.
 
Asante kwa swali zur.....
Isaya 55:8,9 Ina jibu maswali yako yote¡
 
Isaya 55:8,9

Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana. ⁹ Kwa maana kama mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.

Hakuna majibu yoyote hapo, zaidi ya blah blah tu!

Huyo Mungu angekuwa hataki Tunda liliwe, Asingeruhusu Nyoka amdanganye Eva. Tena asingeruhusu nyoka awemo bustanini.

Simpe and clear.

Vinginevyo, huyo Mungu wenu anajitekenya mwenyewe na kujicheka mwenyewe.

Kwa sababu kama Mungu kaumba bustani yeye, Adamu na Hawa kawaweka yeye, Tunda kaliweka yeye, Nyoka karuhusiwa kuwepo bustanini na Mungu huyohuyo. Then huyo Mungu hapaswi kumlaumu yeyote.

Ajilaumu yeye mwenyewe kwa sababu kila kitu aliumba yeye mwenyewe.

Asihamishe magoli.
 
Nimemaliza.....
 
Nyoka hapo zamani kabla hajalaaniwa kwenye hiyo bustani ya Eden alikuwa kiumbe wa aina gani? Alikuwa na miguu, anatembea na mwenye akili kama za binadamu hadi anapiga story na binadamu?
hakuwa nyoka wa kawaida, alikuwa kiumbe mwenye akili kubwa, uwezo wa kuongea, na kwa hakika alikuwa na miguu ya kutembea wima kabla ya kulaaniwa
 
Back
Top Bottom