kwanin wanaume huumia akiona X wake amemove on

@babu DC

ha ha ha, dah hadi RIP?
Kumbe hali ni tete kuliko nilivyodhani.

Najua wanamme hupenda mwanamke afulie tu kwa kwenda mbel, ili siku akimhitaji kwa makumbushio aweze kumpata kirahisi.

Kaka/dada,

Hii dunia ina vituko si mchezo,

Kuna jamaa yetu aliachana na mke wake..ila yule mama akahangaika mambo yake yakaa sawa. Yule baba alizuia watoto wote (alikuwa anaishi nao yeye kwa amri ya mahakama) wasionane na mama yao kwa hali yoyote ingawa walikuwa wanaishi kijiji kimoja. Aliweka informers kibao na kitendo cha mama kukutana na kusalimiana na watoto kilikuwa kinawafanya watoto wapate kibano usiku mzima...

Hadi leo hii wamekuwa wazee lakini mwanamume hana amani kabisa!!

Babu DC!
 
na kweli kuna mmoja nilikutana nae juzi kwenye salamu akaniuliza hivi huwa unanikumbuka kweli nilishangaa kidogo ujumbe wake ulikuwa na maana ipi?

Hahahahahaha,

Ndo wanaume hao,

Hapo alitaka kujua kama bado yuko kwenye hard disk yako.....kama ulishai-format basi usithubutu kumueleza!!

Babu DC!!
 
hiyo mimi sina, biashara imeisha kila mtu asepe na 5 zake:
wanakuwa na wasiwasi make wanawake midomo yao wanaiachaga wazi kuepuka kuchacha na kutoa harafu co siri nyingi wanaweza wakakuta zinaanikwa
-mara kabamia kake kadogo halafu kama kalilimwa mlimani kwenye ukame!
-mara alikuwa hanipi dozi kamili
-mara nimemwaga baada ya kusema hataki tena kulamba chumvi.
 
sisi kama wanaume tumeumbwa kumiliki,hayo maumivu siyo wivu bali ni hasira ya kuona kuna mtu ana mhandle ex wako vizuri kuliko ulivyokuwa unafanya wewe.......
 
Nadhani inategemea mambo mengi....mimi wote niliwahi kuwa nao hakuna mmoja wao ambaye namwonea wivu au kumwombea mabaya. Actually, kuna mmoja alichelewa kuolewa na kuna nyakati nilikuwa najifeel guilty kuwa pengine mimi nimechangia! Lakini kwa ujumla wengi niliowahi kuwa nao tunaendelea kuheshimiana vizuri na kusaidiana (socially) inapobidi bila kukwaza mahusioano tuliyonayo sasa.
 
Kwa wanaume walio wengi, anapokuwa ameachana,ameacha au kuachwa na mwanamke, roho yake itafurahi sana mtalaka wake akipatwa na moja wapo ya mambo yafuatayo:

1. Ama siku moja kutwe akiokota makopo,
2. Arudi akihaha na kuomba msamaha ili jamaa ajipe utukufu, au
3. Apelekewe salamu za R.I.P

Haya nayasema kutokana na mapokeo na prakitoko!!

Babu DC!!

hmm kweli wivu wa kuime ni mbaya sana
 
Nikishakumega niumie nini tena labda nigaramie unitime nisichape mzigo usepe hapo kidogo nitaumia.alafu wewe ukifanikiwa siwez umia labda tuwe kwenye ushindani wa kibihashara alafu niwe nimekupa mtaji unitose.

Mkuu inategemea, Kama demu mwenywe ndo kakutema, lazima somehow kiroho kidunde asee, Kataa kubali..!
 
ili jambo linaweza kuwa na ukweli fulani hivi mana nina ex wangu mmoja yani kila kitu anachokifanya anamwambia rafiki yangu sababu anajua yule rafiki niko nae karibu basi nae ataniambia mimi yanayojiri kwake nilichofanya nami nimemwacha rafiki yangu now atuko kivile sasa sijui atakuwa anamwambia nani ili nijue anachofanya.
 
uyo zmeruka? demu amekutosa, umemfumania mara 7, na ukipiga cm hapokei na amekuambia hakutaki bado! imepita miez 2 uki2ma na colz zako hajib then ukimwona na mchizi wake anayemfili then unaumie! ebu nenda hospitali ya mirembe wakucheki! mm demu ata km awe vp nkimpigia au sms no respond kwa kifupi mashauz nashit! kwanza ishtoshe km umeshawaptia mademu wengi, mademu wengi wazuri wengi wao ni oversize! amka!
 
Huwa sikumbukagi uhusiano zilizopita ,sina utaratibu wa kupenda mtu bado najipenda mwenyewe kwanza.
 
Babu DC retired general 1947 asante kwa kusema ukweli, baadhi ya wanaume huwa wanachukia sana kuona x wake amefanikiwa na hata ameendelea kuwa na mahusiano thabiti! niliwahi kuliona sana hili na mmoja aliwahi kutoa machozi baada ya kusikia kuwa x wake anazidi kung'ara! sijui huwa ni wivu au ni ubinafsi au ni roho mbaya!
 
Hakuna ukweli hapo, mara nyingi sana wanawake ndo wanakuwa wana mawivu kuona dume limebeba mwanamke mwingine, na kumuacha yeye kwenye mataa :cool2:
 
Babu DC retired general 1947 asante kwa kusema ukweli, baadhi ya wanaume huwa wanachukia sana kuona x wake amefanikiwa na hata ameendelea kuwa na mahusiano thabiti! niliwahi kuliona sana hili na mmoja aliwahi kutoa machozi baada ya kusikia kuwa x wake anazidi kung'ara! sijui huwa ni wivu au ni ubinafsi au ni roho mbaya!

Ndiyo uanaume dada yangu...

Unajua watu wanashindwa kutofautisha mahusiano ya siku mbili tatu au mwaka mmoja na yale ya muda mrefu....Mie naongelea uzoefu wa mahusiano ya miaka mingi au ndoa.

Mwanamume (kwa walio wengi), may be na mie pia, atapenda kukuona umechoka vibaya sana....Yaanai muachane kwenye familia ya kukimbizana na kauzu lunch na dinner halafu baada ya miaka kama 5 akukute unatesa na usafiri juu.....Roho itauma saaaaaaaana!!!

Ni sawa na vile ambavyo mwanamke aliyeachika, hawezi kumpenda mwanamke aliyechukua nafasi yake.....Nitaomba mnisahihishe kama nimekosea!!

Babu DC!!!
 
ndo maana mie napenda kukaa na mababu.
Wanasema ukweli hata kama ni mchungu kiasi gani.

Back
Top Bottom