Ukiwa mwizi, tapeli, mnyang'anyi, utapatikana ktk anga za watu wa dizaini hiyo! Wadada wengi siku hizi ni matapeli wakubwa, sasa kama kamtapeli jamaa vijisenti vyake kiasi cha kutosha na jamaa kaamua kumnyang'anya uhuru wake wa kuamua kutoa ngono tatizo liko wapi?! Mara nyingi vikiwekwa hapa visa vya vijana/wanaume kudanganywa na wanawake, kugharimika na mwisho kuambulia patupu, huwa tunashuhudia kejeli za kila aina. Sasa kikija kisa cha hao waroho na matapeli wa kike kukomeshwa kama hiki watu wanageuka tena! Kwa nini tusiwe wakweli...?! Msichana mzuri na mwenye maadili hataonekana bar au sehemu yyt akitumbua vijihela vya wanaume asiokuwa na mpango nao. Pole yake, na usishangae mda huu anamtafuta jamaa amwambie amemmiss...!