Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
usikute jamaa mwenyewe akigusa tu anatema wazungu, mbele ya watu anajishaua aonekane na yeye yumo...
Eti?
Wifey kabla sijakuoa ulikutana na mengi. Khaaa!
usikute jamaa mwenyewe akigusa tu anatema wazungu, mbele ya watu anajishaua aonekane na yeye yumo...
inawezekana si kukata hasa, labda tuseme kuzungusha ili mchi uingie vizuri kwenye kinu. Hii itasaidia kulainisha eneo na michubuko haitatokea kirahisi kama ambavyo angekuacha ukasokomeza tu li mchi lako.
lara 1kubwa la maadui unaitwa huku
Sasa hii habari inatufundisha nini, mods please hizi mambo za unangaa zimezidi hapa jukwaani muwe mnazivukisha kwa recycle bin dah!!!
Aisee kuna watu wababe jamani..... nilikua napata kilaji mahala fulani hivi ...kuna jamaa kakaa na binti mzuri sana kama meza ya tatu kutoka tulipokaa...... unajua tena sehemu starabu watu huwa wanaongea kwa sauti za chini na mziki wa sauti ya mbali huku tunashusha vitu baridiii....
Ilikua ni mida ya saa nne au tano hivi usiku.....mara ghafla Jamaa aliyekua kakaa na yule mzuri binti akasimama na kwasauti nzito na ya ukali akamwambia yule dada...USIT*MBWE WEWE UNA NINI BWANA? akarudia tena kwa kumuuliza UNA NINI WEWE USIT*MBWE.
Alivyomaliza hiyo sentisi ya mwisho akamgeukia waiter huku anawasha sigara akawambia aisee tuletee bili tuondoke..
Huwezi amini jamaa kalipa kamshika dada mkono wakaondoka.....dada alikua anatia huruma kama anaenda kuuliwa vile...jamaa alikua kashiba hamna mtu aliyeingilia....
Aisee huyu jamaa kiboko.....
@lara1, where are you pliz?! I am exoding giving you room to have your input on this....this....t...!!!
Baa za mashenzini hutembelewa na washenzi, na washenzi hufanya ushenzi wao huko
HAHAHAHAAAAAAAAAA!!!!!!!!!! Ujue inmenichekesha sanaa kunifananisha na hao mademu njaaa!!!!!!!! Mi ni mtu mwenye uwezo sema uchunaji ni kama hobby sio kuwa bila kuchuna mjini sikai!!!!!!! So pamoja na mkwanja lazima mkaka awe na vigezo vingine kama uzuri, class, civillized!!!!!! So kisa unapesa lazima niku date!!!! Hell Noooooooooo!!!!!!!!!!!
So hayo kunikuta ni NEVERRRRRRRRRRR!!!!!!!!!!! Hata yakinikuta I GOT SOME SERIOUS BROTHERS N COUSINS FROM KINOCLAIN!!!!!!!! Ningetuma SMS 1 tu na TIGO YAKE INGEKUWA HALALI YAO!!!!!!!!!!
ACHANA NA WATU BORN HERE HERE!!!!!!!!! WE OWN THIS TOWN!!!!!!
Huo ubabe wawafanyie watoto wa mkoa huko waliokuja na basi!!!!!! Sie BORN HERE HERE tukipata mashaka tu ya kimazingara tunatuma SMS kwa LAFAMILLIER YA MATEJA pale KINOCLAIN hapo hapo BACK UP INAINGIA!!!!!!!! Ataomba ardhi ipasuke!!!!!!!!
Nikitoa jero tu kwa teja inatosha kufanya aliwe 0713 kwa CHUPAA na KINO hakanyagi maisha yake!!!!!!!!
@lara1 I want to see you on our JF D-Day. I can not afford to miss this Day in my own motherland.
Sasa hii habari inatufundisha nini, mods please hizi mambo za unangaa zimezidi hapa jukwaani muwe mnazivukisha kwa recycle bin dah!!!
@lara1 I want to see you on our JF D-Day. I can not afford to miss this Day in my own motherland.
Haiitaji hata akili nyingi kama unaona mada haina mvuto kwako, we sepa kimya kimya mkuu mbona majukwaa mengi
sio lazima uchangie mzee
Mshenzi wa tabia tuu huyo jamaa,anamuonyesha nani? basi watu kama hao ukiwavulia nguo wanakua kama kuku hana lolote.
Nakuja nimevaa MASK!!!!!!!!! Hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! Utanijua?
Wanawake wasipende vya bure.....maana kuna watu huko street ukiwabeep wanapiga.
Haiitaji hata akili nyingi kama unaona mada haina mvuto kwako, we sepa kimya kimya mkuu mbona majukwaa mengi
sio lazima uchangie mzee
Watu wengine bana....shule alikimbia sasa ivi anataka JF imfundishe.... kwani ni tuko kwenye masomo ya online sisi...