Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,934
Ulikuwa ujinga tu labda kukaa ukoo mmoja kwa pamoja nakuvaa magome tu na kuoana tu kama ngedereKabla ya hao wazungu kuja wewe ulikuwa umepiga hatua gani? Kifupi tuliwekeza kwenye utamaduni tu mambo ya ngoma etc, dats why wao wakaona hatuna ishu wakaona watuletee angalau mfumo utakaotufanya tuendelee.
Kuna mwarabu mmoja aliwahi sema "wao wanaendelea na sisi watu weusi hatuendelei sababu moja tu " uongozi" akaishia hapo