Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

Haya masuala uliyoandika yapo kishule sana na mengi yameshafanyiwa utafiti na majibu yapo...

Hila vitu vinavyokosekana ni kumfikiri waafrika wote tuna fikra na hatuna tofauti zetu.

Wazungu walipigana vita vya kwanza na vya pili vya dunia. Na matokeo ya vita hivyo ni kuwa na nchi zenye kukubalika na wananchi wao. Ukienda Ireland ni wa Irish.. ukiend Ujerumani ni wajerumani.... ukienda Italy ni wataliano....Ukienda Spain ni waspanish....

Njoo Afrika...Ukienda Kenya wajaluo, wakikuyu na kadharika...

Tanzania ....wasukuma, wachaga, .. wazaramo n.k

Nigeria waibo...fulani... n.k

DRC ndio usiseme..

Ukienda Afrika kusini kuna wazulu...Wakhosa...n.k na ni watu wanaowapiga wafrika wenzao ni watu wazulu kwa sababu ni easy target...
Kwa ufupi tu unachosema kinachotutofautisha sisi na wao ni kwamba wao wana mataifa yanayoundwa na watu wao kimshikamano, wakati sisi huku hatuna hayo mataifa bali ni mkusanyiko tu wa jamii mbali mbali zenye tamaduni tofauti sizizokuwa na mshikamano wowote zinazoishi ndani ya eneo moja ambalo nalo walitengewa na mipaka ya watawala wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tuna melanin wazungu hawana

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Rejea hadithi ya watoto wa Nuhu Sham na Yafet.
Kuna watoto wao baba kalewa kakaa uchi.Mmoja kacheka mwingine karudi karudi kinyume kamfunika baba.
Baba kagundua kitu kamwaga laana kwa aliyemcheka kuwa utatawaliwa na ndugu yako.
Shida ndio ilianzia hapo kwa muafrika tusipige ramli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yetu.

kama nilivyosema pale juu ni uselfishness!

im begining to wonder kama hii ni disorder? na kwa nini iko common kwetu wa Africa??
Kuna jamaa angu mmoja anakauli yake anaipenda sanaaaa, anasema huu ujinga na tabia za hovyo kwa hovyo sisi rangi nyeusi zipo kwenye DNA, yaaani deep kabisa kwenye genes na microsome huko so itaenda maelfu ya miaka hii kitu ni ngumu kuisha na ukitaka kuamini hili angalia wale watoto "africast" akili zao zinakuwa tofauti na watoto zetu yani the more you become whiter the more you become brighter.
 
Rejea hadithi ya watoto wa Nuhu Sham na Yafet.
Kuna watoto wao baba kalewa kakaa uchi.Mmoja kacheka mwingine karudi karudi kinyume kamfunika baba.
Baba kagundua kitu kamwaga laana kwa aliyemcheka kuwa utatawaliwa na ndugu yako.
Shida ndio ilianzia hapo kwa muafrika tusipige ramli

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwanga mzuri

Je waarabu ni kweli wao ni uzao wa ishmael mtoto wa kambo wa Abrahamu? Nipe mwanga kidogo katika hilo
 
Kuna jamaa angu mmoja anakauli yake anaipenda sanaaaa, anasema huu ujinga na tabia za hovyo kwa hovyo sisi rangi nyeusi zipo kwenye DNA, yaaani deep kabisa kwenye genes na microsome huko so itaenda maelfu ya miaka hii kitu ni ngumu kuisha na ukitaka kuamini hili angalia wale watoto "africast" akili zao zinakuwa tofauti na watoto zetu yani the more you become whiter the more you become brighter.

It is perhaps possible. Maana hata uchumi wa dunia uko chini zaidi in the southern hemisphere (kwa waafrica) and tends to get better the further north you go. Kwanza kwa mwarabu na mhindi uchumi unaanza kua bora them kwa mzungu ndio bora zaidi
 
Yeah sure, ukweli mtupu.
 
Kuna jamaa angu mmoja anakauli yake anaipenda sanaaaa, anasema huu ujinga na tabia za hovyo kwa hovyo sisi rangi nyeusi zipo kwenye DNA, yaaani deep kabisa kwenye genes na microsome huko so itaenda maelfu ya miaka hii kitu ni ngumu kuisha na ukitaka kuamini hili angalia wale watoto "africast" akili zao zinakuwa tofauti na watoto zetu yani the more you become whiter the more you become brighter.
very stupid comment I ever read so far

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sis ni wa Rohombaya sanaaaaa. Unakuta mtu anataman jilani yke afirsike. Wazungu awapo ivo , cha msingi ya kwake yanaenda bass. Linapokuja ishu ya ki jamii kila m1 anataman jina lake ndo linatajwa. Wapo ivo
 
Mwandishi kanifurahisha eti watumwa wa hiari siku hizi awapati tabu kuwapata watumwa kama zama uwaconrol kwa visa tu kwwenye balozi zao
 
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo

Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya kusini kuyafata mema ya mzungu

Wakati wa ukoloni babu zetu waliwindwa kama wanyama wakadakwa wakauzwa na kupelekwa ulaya utumwani. Lakini sasa waafrika maelfu kwa maelfu wanakimbilia ulaya. Wanajipeleka wenyewe kwa mzungu tena wengine kwa kurisk maisha yao kwenye mediteranian sea.

Kule marekani mitaa wanayoishi wazungu ni bora kabisa na iko very civilized and well kept. Lakini mitaa ya waafrika ni gettho na familia zao ni vurugu tupu zenye mimba za utotoni na vijana wanaokataa shule. Hata Chris Rock aliwahi kutania kwamba ukipiga simu usiku wa manane ikawa wrong namba akipokea mweusi atakutukana lakini akipokea mzungu atakuuliza kwani ulikua unamtafuta nani labda naweza kukusaidia.

Hapa Tanzania mashirika mengi yalikufa baada ya mzungu kuondoka. Mfano mmoja ni yale mashamba ya Nafco basutu na mbarali na hata mashamba ya mkonge tanga nk

Kwani mzungu ana nini ambacho waafrika hatuna ambacho kinamfanya yeye anafanikiwa tu na sisi tunafeli kila mahali dunia nzima. Yani waafrika popote walipo na chochote wanachofanya kinafeli lakini wazungu popote walipo wanafanikiwa

Kule Haiti ambako ni karibu kabisa na america nchi imeharibika kabisa kwasababu ni nchi ya mwafrika. Meya mmoja wa Washington DC aliekua mweusi alikamatwa kwa rushwa wakati Washington DC is one of poorest city in america kwakua viongozi wake ni weusi simillar to chicago inayoongoza kwa crime rate and homicides in the united states kwakua viongozi ni weusi.

What is the missing link

Where is the missing link and where did it originate from.

Is the gap cultural, religion, economic, or psychological.

safari hii naomba tusifocus kwa mwafrika na mapungufu yake hebu tufocus na mzungu kwani nini alicho nacho mzungu ambacho sisi hatuna?

Sisi waafrika tukisoma na mzungu darasani hua tunawashinda tunaongoza katika masomo na hata katika athletic abilities lakini mwisho wa siku mzungu anaendelea kufanikiwa sisi tunarudi nyumbani kuendelea kufeli

Je ni nini ambacho mzungu anacho siso hatuna?
wenyewe ni wazungu,baada ya Mungu mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom