Kwani una fani ngapi?

Kwani una fani ngapi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
Fundi wewe
Mkulima wewe
Mfugaji wewe
Mwanamziki wewe
Siasa bwana...!!? 1422422869000.jpg1422422869000.jpg
 
mshana ungeweka picha zote ndio uzi ungekaa njema zaidi
_kuna zile analima
_anabeba matofali
_anakula vitumbua....
 
mshana ungeweka picha zote ndio uzi ungekaa njema zaidi
_kuna zile analima
_anabeba matofali
_anakula vitumbua....

Hahahahaaaa kweli kabisa Marire ngoja nizisakanye nikizipata tu natupiamo
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni mwalimu wa muziki na ni msaada mkubwa kwa KWAYA zetu kanisani. Tano za baraka
 
Ni nani huyu tena Jamani, wabongo tuko zaidi ya milioni 45...!
 
​siasa hadi raha, mwisho wa siku ukionyeshwa matukio uliyokuwa unafanya utakataa kuwa sio wwe
 
Gere mama gereeee wanamuonea gere.

Watausaga mtama waubwie wenyewe!

....wewe mtu wa mia wataka elfu nne...
Dau lako la mia wataka elfu nnee...
Yale nilokwambia sasa yameshatimiaaa...
FAHARI EEH NDIO MAMA UJINGA×2
 
Back
Top Bottom