Gere mama gereeee wanamuonea gere.
Watausaga mtama waubwie wenyewe!
....wewe mtu wa mia wataka elfu nne...
Dau lako la mia wataka elfu nnee...
Yale nilokwambia sasa yameshatimiaaa...
FAHARI EEH NDIO MAMA UJINGA×2
Fundi wewe
Mkulima wewe
Mfugaji wewe
Mwanamziki wewe
Siasa bwana...!!?View attachment 222228View attachment 222228
Gere mama gereeee wanamuonea gere.
Watausaga mtama waubwie wenyewe!
Gere mama gereeee wanamuonea gere.
Watausaga mtama waubwie wenyewe!
....okKaka net iko slow waweza nitumia kwa whatsApp ikiwa downloaded