Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?

Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
 
Kwa Sasa ni nani ambaye anaijua zaidi CCM mpya huko juu?
 
Alishasema alianza misheni Ethiopia
Kabla ya kuwa raisi magufuli hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi. Suala siyo ulianza kuwa ccm lini. Ni unasimia nini?
Wapo walianza biashara kabla ya bahresa lakini leo ni maskini
 
Ulimjua kipindi cha Magufuli kuwa rais ila alikuwepo kwenye system before, ni mtumishi ndio maana kwenye press yake juzi anakuambia kiapo kinamzuia kusema mengi.

Unajua ccm imeanza kubadilika sasa kuchukua hadi machawa ila ni chama kilikuwa kinawajenga vijana, na kati hao vijana Pole Pole wakiwemo ndani, kama umemsikiliza vizuri kuna sehemu alisema kwenye chama na serikali amepita sehemu nyingi sana kicheo tena fasta fasta tena vya juu.

Hivi unajua ccm wameshaweka sana mapandikizi ukiwaona kwenye vyama vingine tuanzia Lyatonga, Mabere na wengine wengi ukijua ni wapinzani kumbe ni meno wanafanya kazi kwa niaba ya chama tawala.

Kwa mfano Dr Bash wengi wanadhani ni mtu wa CUF, alivyoletwa chamani walisema ni mgeni, alifikia cheo cha katibu mkuu kiongozi, unajua jumba jeupe uwezi kufanya kazi kama siyo mwenzao( meno)

Mind you, meno wengi ni chama tawala, refer to dc wa wilaya moja ipo mkoa pwani alikuwa ndani ya chama halafu alikuwa mwandamizi jumba jeupe hadi ametolewa kuwa dc.
 
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?

Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
Kitila Mkumbo na wahuni wengine waliounga mkono juhudi wamekuwaje waandamizi kwenye chama chenu?
 
Jadili hoja, usimjadili mtu.
 
Hata kama angeanza jana!
Fuateni Katiba, sheria, kanuni na taratibu!
Kuvuruga ni kuvuruga tu! Hakuna kuvuruga kidogo!
 
Kitila Mkumbo na wahuni wengine waliounga mkono juhudi wamekuwaje waandamizi kwenye chama chenu?
Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa UVCCM Singida
 
Jadili hoja, usimjadili mtu.
Katika presentation yake alitaja CV yake kwamba ameshika vyeo vikubwa ndani ya CCM.
Pia akagusia kuhusu utamaduni wa chama ...sasa kati ya polepole na JK anayejua utamaduni wa chama ni nani?
 
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?

Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
2020 sikiliza mkutano wake wa juzi alisema mwaka aliojiunga na ccm
 
Katika presentation yake alitaja CV yake kwamba ameshika vyeo vikubwa ndani ya CCM.
Pia akagusia kuhusu utamaduni wa chama ...sasa kati ya polepole na JK anayejua utamaduni wa chama ni nani?
Nakwambia hivii, jadili hoja usijadili mtu.

Ukijadili mtu umeingia katika mtego wa kufanya ad hominem logical fallacy.

Na ukianza kum disgrace yeye na u CCM wake unafanya fallacy nyingine ya nonnsequitur kwamba asiye CCM hawezi kujua kuikosoa CCM vizuri.
 
Ulimjua kipindi cha Magufuli kuwa rais ila alikuwepo kwenye system before, ni mtumishi ndio maana kwenye press yake juzi anakuambia kiapo kinamzuia kusema mengi.

Unajua ccm imeanza kubadilika sasa kuchukua hadi machawa ila ni chama kilikuwa kinawajenga vijana, na kati hao vijana Pole Pole wakiwemo ndani, kama umemsikiliza vizuri kuna sehemu alisema kwenye chama na serikali amepita sehemu nyingi sana kicheo tena fasta fasta tena vya juu.

Hivi unajua ccm wameshaweka sana mapandikizi ukiwaona kwenye vyama vingine tuanzia Lyatonga, Mabere na wengine wengi ukijua ni wapinzani kumbe ni meno wanafanya kazi kwa niaba ya chama tawala.

Kwa mfano Dr Bash wengi wanadhani ni mtu wa CUF, alivyoletwa chamani walisema ni mgeni, alifikia cheo cha katibu mkuu kiongozi, unajua jumba jeupe uwezi kufanya kazi kama siyo mwenzao( meno)

Mind you, meno wengi ni chama tawala, refer to dc wa wilaya moja ipo mkoa pwani alikuwa ndani ya chama halafu alikuwa mwandamizi jumba jeupe hadi ametolewa kuwa dc.
Slowslow Kawa.... tangu 2K n mzoefu hata hizi sarakasi anazopiga SI za kuziamini Sana inaweza ikawa ni mtego... Ss wenyewe hatuaminiani ngoja akamilishe task ake
 
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?

Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
Jibu hoja zake na hao G200+ watawafurahisha siku za usoni!
 
Back
Top Bottom