Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?

Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
Wapuuzi tu hao wanaohoji umri wa uanachama wa Polepole, wahoji pia akina Mpango, Kabudi, Mkumbo, Katambi, Kafurira nk.
 
Slowslow Kawa.... tangu 2K n mzoefu hata hizi sarakasi anazopiga SI za kuziamini Sana inaweza ikawa ni mtego... Ss wenyewe hatuaminiani ngoja akamilishe task ake
Kabisa mkuu.

Wanajua ni wamezuka tu maana kuna wamezoeleka kama February au wa mtama basi unajua ni wakongwe kumbe kuna wengine wapo behind the scene .
 
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?

Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
Hao wenye ccm yao ni akina nani?
 
Back
Top Bottom