Mhm umeandika kama K......vile hasa hio 1st paragraph yani mulemule swaga zilezile Tehteh
Owkey
Nononono not you bro miandiko tu kwenye 1st paragraph nimependaHuyo K ndo nani?
Na unataka kusema huyo K ndo mimi au?
mbona mimi na wewe ni marafiki?Hivi unaamini kuna urafiki wa kweli kati ya mwanamke na mwanaume?
mbona mimi na wewe ni marafiki?
Mume ni majukumu kubeba siyo kuyaongezaSasa bana...jana nikiwa katika pilikapilika zangu hapa mjini nikakutana na dada mmoja mrembo sana. Nikawa nimemsahau maana alikuwa kabadili mtindo wake wa nywele na alikuwa kavaa tofauti na nilivyozoea kumwona.
Mara nyingi huwa nikimwona huwa kavaa sare za kazini kwake. Anafanya kazi kwenye moja ya migahawa 'upscale' hapa mjini [Dar]. Basi ikabidi anikumbushe yeye ni nani na huwa tunaonana wapi. Aliponikumbusha tu kumbukumbu zangu zikarudi fasta sana.
Sikutegemea kabisa kuwa angenikumbuka. Ila pia sishangai kivile kwa sababu huwa nikienda hapo kazini kwake yeyote yule ambaye huihudumia meza yangu [na mara nyingi huwa ni yeye] huwa namwachia 'tip' ya nguvu.
Kwa vile jana alikuwa hayupo kikazi, alinichangamkia kuliko ilivyo kawaida. Halafu nadhani alikuwa chini ya ushawishi wa kilevi. Nilihisi alikuwa amekunywa pombe kidogo.
Baada ya soga kidogo akaniomba namba yangu. Nikastuka aliponiomba.
Nikamwuliza 'lakini si una mume wewe?'
Naye akanijibu 'we Ngabu nini bana kwani mume tatizo'? Hebu nipe bana hiyo namba yako'. Ikabidi tu nimpe namba yangu.
Baadaye nikaanza kumwonea huruma huyo mumewe. Na sijui hata kwa nini nilimwonea huruma. Sijui ndo uzee umeanza kuniingia...maana enzi nikiwa shababi badala ya huruma ningekuwa nachekelea tu kumpa mchuchu namba yangu.
Hapa nilipo naisubiri simu yake. Alinipa sharti kuwa ni yeye tu ndo atanitafuta na kwamba mimi nisimtafute. Hiyo ni kwa sababu ya hali yake ya kindoa....Simulizi ya hili tukio iende kwa wale wote wanaoamini wanawake, hususan wake za watu, ni waaminifu........
Tip zako zinakaribia kuzaa matunda.
Mume ni majukumu kubeba siyo kuyaongeza
hahahahahahah eti umemuonea huruma mume wake hahahahahSasa bana...jana nikiwa katika pilikapilika zangu hapa mjini nikakutana na dada mmoja mrembo sana. Nikawa nimemsahau maana alikuwa kabadili mtindo wake wa nywele na alikuwa kavaa tofauti na nilivyozoea kumwona.
Mara nyingi huwa nikimwona huwa kavaa sare za kazini kwake. Anafanya kazi kwenye moja ya migahawa 'upscale' hapa mjini [Dar]. Basi ikabidi anikumbushe yeye ni nani na huwa tunaonana wapi. Aliponikumbusha tu kumbukumbu zangu zikarudi fasta sana.
Sikutegemea kabisa kuwa angenikumbuka. Ila pia sishangai kivile kwa sababu huwa nikienda hapo kazini kwake yeyote yule ambaye huihudumia meza yangu [na mara nyingi huwa ni yeye] huwa namwachia 'tip' ya nguvu.
Kwa vile jana alikuwa hayupo kikazi, alinichangamkia kuliko ilivyo kawaida. Halafu nadhani alikuwa chini ya ushawishi wa kilevi. Nilihisi alikuwa amekunywa pombe kidogo.
Baada ya soga kidogo akaniomba namba yangu. Nikastuka aliponiomba.
Nikamwuliza 'lakini si una mume wewe?'
Naye akanijibu 'we Ngabu nini bana kwani mume tatizo'? Hebu nipe bana hiyo namba yako'. Ikabidi tu nimpe namba yangu.
Baadaye nikaanza kumwonea huruma huyo mumewe. Na sijui hata kwa nini nilimwonea huruma. Sijui ndo uzee umeanza kuniingia...maana enzi nikiwa shababi badala ya huruma ningekuwa nachekelea tu kumpa mchuchu namba yangu.
Hapa nilipo naisubiri simu yake. Alinipa sharti kuwa ni yeye tu ndo atanitafuta na kwamba mimi nisimtafute. Hiyo ni kwa sababu ya hali yake ya kindoa....Simulizi ya hili tukio iende kwa wale wote wanaoamini wanawake, hususan wake za watu, ni waaminifu........
hahahahahahah eti umemuonea huruma mume wake hahahahah
Sasa mkuu mbona umeshamwaga Mchele kwenye kuku wengi imagine kama imewake kausoma Uzi wako alafu akaamua kukutafutia mazingira ya kukukamata ivi unafikiri atakufanya nini?
Usimfanye kitu kibaya kumbuka nawe utaoa