The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Ndiyo.
Kwa sababu 'sababu' zinaweza kuwa tofauti kulingana na mtu mwenyewe, muktadha, na kadhalika.
Unaweza kukuta hata huyo mdada alipo olewa
aliahidi hatakuja ku cheat
but then again...
Ndiyo.
Kwa sababu 'sababu' zinaweza kuwa tofauti kulingana na mtu mwenyewe, muktadha, na kadhalika.
Unaweza kukuta hata huyo mdada alipo olewa
aliahidi hatakuja ku cheat
but then again...
Hahahaaa....Bossman...mbona mi naona ni kama wote tu waingiao kwenye holy matrimony huwa wanaahidi hayo.
Naamini huwa wanaahidi hayo wakiwa under the influence of dopamine, ignorance, or both!!!
He hee ila nawewe si utampa tu ilihali unajua ni mke wamtu?
Kumpa dyudyu yako bana. Sio nambaNishampa mbona....
Nikuonyeshe picha yake?
Kumpa dyudyu yako bana. Sio namba
Kama ilivo kawaida yako tehOoh ok.
Oh yeah...lazima nimcumishe tu na yeye maana hakuna namna😀.
Kama ilivo kawaida yako teh
Utafia kifuani wewe
KwendraaaNzi kufia kidondani si hasara Muree😀😀😀
Kwendraaa