Kwani Morogoro kuna tatizo gani?

Kwani Morogoro kuna tatizo gani?

Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.

Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!

Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Ni kwasababu wnaenda Morogoro.

Huko kwingine hawakuti maatatizo kwasababu hawajaenda.

Tatizo mnamfanya Rais ndio kila kitu na kila kitu kufanyika mpaka viongozi wa juu waendee wakatoe NATAMKO.

Nchi imekufa kabisa hii
 
Hata Shinyanga ndio majanga.Ila sijui kwa nini viongozi wanakwepa kuja Shinyanga.

Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.

Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!

Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWANA-KIJIJI SIKU HIZI UMEFULIA HULETI NONDO ZA MAANA ZAIDI YA KUWA MLAMBA MIGUU WA LUMUMBA.
 
Mzee ni lini utaanzisha uzi wenye kichwa mithili ya kama hiki: Kwani Ikulu ya Tanzania kuna tatizo gani ? Raia wa Tanzania na Raia Wengi wa Mataifa Mengine Wamelalamikia Uadilifu na Utendaji Kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam lakini bado Rais aliyemteua Hajachukua Hatua yeyote Stahiki. Vinginevyo, tuambie tu kwamba wewe huna tofauti na propagandist mwingine yeyote ambaye yupo kwenye payroll ya CCM kwa kuanzisha uzi huu. Unajaribu kuwatoa Watanzania kwenye mada za muhimu zaidi ambazo hazijapatiwa majibu.
 
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.

Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!

Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Mkuu haya yapo kote ,na Ni matokeo ya Utawala,na Awamu hii imekuwa maradufu!
 
Mzee ni lini utaanzisha uzi wenye kichwa mithili ya kama hiki: Kwani Ikulu ya Tanzania kuna tatizo gani ? Raia wa Tanzania na Raia Wengi wa Mataifa Mengine Wamelalamikia Uadilifu na Utendaji Kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam lakini bado Rais aliyemteua Hajachukua Hatua yeyote Stahiki. Vinginevyo, tuambie tu kwamba wewe huna tofauti na propagandist mwingine yeyote ambaye yupo kwenye payroll ya CCM kwa kuanzisha uzi huu. Unajaribu kuwatoa Watanzania kwenye mada za muhimu zaidi ambazo hazijapatiwa majibu.
MMM huyu wa leo ,amekuwa wa Kichina!
 
Tangu aingie madarakani raisi MAGUFULI hajatengeneza mfumo wowote wa kupambana na rushwa.anatumia mbinu alizotumia beans Augusino lyatonga mrema alipokuwa wazir wa mambo ya ndani.ati wizara yote ilikuwa yye tu. Alipoondoka hakukuwa na legacy yyte. Mtu anakamatwa mtwara anaambiwa apelekwe kilimanjaro?
Bwana MAGUFULI anajua watz wanapenda kushshuana.anachokifanya ANAMSHSHUA MTU HADHARANI WATU WANASHANGILIA BASI.
tukumbushane hapa sheria yetu ya PCCB ina matobo mengii. Alishawahi izungumzia? Je ni wezi wangapi ambao wamehukumiwa mpaka leo zaidi ya kuwabambikia watu kesi kwakuwa wanamkosoa.
Tuache unafiki, yule ni kiongozi wa CCM anatokana na mfumo wa wezi tu hana jipya.
ANAWAITA WATENGENEZA NDEGE IKULU NA KUAGIZA NDEGE AKIWEKA MBALI SHERIA YA MANUNUZI WALA BUNGE? 10% KWA NDGE MOJA NI SHILLING NGAP?
PESA ZA KUJENGA AIRPORT KWAO ALITOA WAPI, NANI ALIJENGA NA ALIPATA WAPI MAMLAKA? KWELI CHATO INAHITAJI INTERNATIONAL AIRPORT? SI IPO PALE MWANZA?
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.

Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!

Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.

Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!

Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Mpelekeni Mh.Sumaye akawe Mkuu wa Mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM

Labda tatizo lipo kwa wasemaji wanacopy na kupaste speech za watangulizi wao na hivyo hiyo dosari kuendelea kuonekana ni endelevu kumbe ilishakata kitambo
 
Wanasema Ni mji mkuu kasoro bahari labda wajanja Ni wengi
 
Tatizo ni watch dog ambaye ni mabaraza ya madiwani na wabunge. Tatizo lingine ni wananchi wa maeneo fulani kutojua majukumu ya serikali zao na wawakilishi. Uelewa wa wananchi ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom