Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,484
kuna WatanzaniaSijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM. Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!
Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Hayapinduki yakashiaHivi suala la katibi mkuu wa CCM kutembea na msafara linakaaje?
Maana jana tumesimamishwa sana foleni kwenye round about fulani hapa moro(siifahamu jina). Kuja kusikia eti katibu mkuu wa CCM anapita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku hapa A twn tumesimamishwa ghafla magari hayaendi, mara tukaona mapikipiki na ma landcruiser...kuulizia ulizia eti ni Mr slow anapita.Hivi suala la katibi mkuu wa CCM kutembea na msafara linakaaje?
Maana jana tumesimamishwa sana foleni kwenye round about fulani hapa moro(siifahamu jina). Kuja kusikia eti katibu mkuu wa CCM anapita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi suala la katibi mkuu wa CCM kutembea na msafara linakaaje?
Maana jana tumesimamishwa sana foleni kwenye round about fulani hapa moro(siifahamu jina). Kuja kusikia eti katibu mkuu wa CCM anapita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo katika mamlaka ya uteuzi. Ni watu was Aina gani wanateuliwa?
Bwashee unasalimiwa na Cecil Mwambe!CCM mteueni Mzee Mwanakijiji kuwa RC wa Morogoro, anao uzoefu wa kuongoza kwaya ya kanisa kwa miaka 10 mfululizo bila mgogoro
Mikoani mnaonewa sana ! Polepole si wa kupishwa njia , hana hadhi hiyoKuna siku hapa A twn tumesimamishwa ghafla magari hayaendi, mara tukaona mapikipiki na ma landcruiser...kuulizia ulizia eti ni Mr slow anapita.
Chadema ilikuwa tayari inayo mipango yote ya fukara Mwambe kabla hata hajaipanga , mimi nilikuwa mtu wa kwanza kuripoti humu jf tarehe ya Kapuku Mwambe kurudi ccm , angalia uoneBwashee unasalimiwa na Cecil Mwambe!