Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Kwanza nimepost hii mada kwenye jukwaa la siasa kwa sababu naona haya makampuni ya mawasilano yameshaaanza kuleta mambo ya siasa kwenye vitu vya teknolojia.
Yani kwa siku za hivi karibuni internet kwenye mitandao karibu yote ya simu imekuwa very slow, na badala ya hawa jamaa kutuambia nini kinaendlea wao wako bize tu kugawa mi ofa ya uongo na kweli, mara sijui double bundle na wengine sijui udownload youtube usiku kucha! Udownload kwa speed gani?
Embu acheni mambo ya Kiswahili, kama samaki wamesha ulamba mkongo wa mawasilano unaopita baharini tujulisheni ili tuwe wavumilivu...
Mfyuuuuuu!