Kwani hakuna uwezekano wa kufanya hivi wakitaka kujenga Fly Over?

Pinda alikuwa ananizuia kipindi Mimi waziri nikaacha. Ila sasa Mimi ndio rais hakuna WA kunizuia. Bomoa
 
Unatakiwa kuwa na uhakika ukiwa unasema hasa kwenye v2 kama hv vya maendeleo, Je? Una uhakika kama hakuna ushauri aliofuata.
Basi si angesema ukweli. Is he too proud kusema wataalu wametushauri tubomoe na kuamua kusema Pinda huko nyuma alinizuia nisibomoe ila sasa naamuru libomlewe kwa kuwa mie ndio raisi? In fact statement kama ile haifai kwa mtu kama raisi - inaonyesha anataka kum-belittle Pinda.

Sasa tunachojua ni kwamba kaamua libomolewe kwa kuwa yeye ndio raisi hakuna wa kumpinga.
 
Kipindi kile lilitaka kubomolewa kwa sababu lipo kwenye hifadhi ya Barbara, na sasa ndo wakati wake muafaka.
 
20040abc39d7fd4dbf91e1c25603297a.jpg
7e0909f842b75bf605a462b89b31fd66.jpg

Baada ya Rais kutembelea miradi miwili ya ujenzi wa Barabara za Juu maeneo ya Tazara na Ubungo, Rais aliagiza kuwa Makao Makuu ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) lililopo eneo la Ubungo sambamba na jengo la Wizara ya Maji yawekwe alama X tayari kwa kubomolewa kupisha ujenzi wa mradi huo.

Sipingani na Rais yuko sawa katika amri ya kubomoa, ila hoja yangu hakuna uwezekano kufanya kama picha zinavyoonyesha hapa? Maana nijuavyo ni kwamba unajenga Fly Over kuepusha msongamano wa magari wakati huo huo shughuli zingine kama za Ofisi au Kibiashara zikiendelea maeneo hayo. Au hata Ulaya nako wanabomoa majengo wakitaka kujenga Fly Over, Au Ubungo Interchange?

Nawasilisha

==========
Mdau Mwingine

Tangia rais alipoamua kuvunjwa kwa jengo la tanesco na idara ya maji halafu watu wakakenua meno kushangilia nimeamini Tanzania tumehitimu kwa unafiki. Haiwezekani kabisa kuchekelea jambo la upotevu wa mabilioni ya tshs kiasi hicho wakati kungekuwa na uwezekano wa kukwepa hizo gharama
 
Back
Top Bottom