Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 11,207
- 18,998
Mkuu jengo kama lile linakuwa designed kuhimili tetemeko la kiasi fulani, sio tu mashine za kushindilia wakati wa kujenga flyoverHivi lile jengo la Tanesko lingeweza kuhimili mikikimikiki ya ujenzi wa barabara?