Kwani cha usiku na cha alfajiri kipi kitamu?

Kwani cha usiku na cha alfajiri kipi kitamu?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,976
Reaction score
831,545
Mara nyingi tupandapo vitandani mwetu baada ya mishemishe za siku nzima huwa tumechoka kwahiyo hata ile makitu hatuifaidi kivile, lakini ukiupa mwili muda wa kupumzika na ukaidamkia dayb na kile kibaridi chake ladha na utamu wake huongezeka mara dufu
Japo kuna wakati pia cha kulalia nacho kina hamu zake hasa kama siku hiyo huna stress na umemkuta mwenzi wako keshajiandaa
 
Aaah lakini morning glory achana nayo. Tena sio ya alfajiri ile ya asubuh kabisa ushavaa suti yako na tai halafu anavivua vyote unapiga cha fasta hadi unachelewa kazini
 
Thread zako zoote ni kugegedana tu, Mimi napita tu ngoja waje wataalam!
 
Cha usiku na asubuhi vyote ni vitamu inategema jinsi ulivyojiandaa. SASA vyote vya wakati wote ni vitamu tu. kwa nini umeulizai vya muda huo tu?
 
Tatizo nyie mnakaa mijini (Dar) sie huku mikoani ikifika weekend mnaweza mkawa kila mtu na mishe zake but jioni sasa!! Mnatoka evening walk, mnafika mahali pembeni kabisa mwa mji sehemu iko safe kwenu, mnatulia hapo mnapiga story na vinginevyo kama mmebeba then huku na kule mnajikuta mnakamua cha kinguo nguo hahahaaaaa!!

Utaona mwenzi wako kila weekend analazimisha evening walk hata kama hutaki!! Cha porini ni nomaaaa, jaribu uone
 
Back
Top Bottom