Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,009
- 95,513
Nipe basi na Mimi 😄Hizo wala sio hasira za karibu, kinachokusumbua ni ujinga. Anza kufuta ujinga.
Nipe basi na Mimi 😄Hizo wala sio hasira za karibu, kinachokusumbua ni ujinga. Anza kufuta ujinga.
lalaMmnh
Niko nasubiri mtoto wa mtu aniambie good night 😃😃😂, nadhani nitakeshalala
yeye anakusubiri? mbuzi unajipeleka machinjoni🤣Niko nasubiri mtoto wa mtu aniambie good night 😃😃😂, nadhani nitakesha
Yeye mwenyewe kanimbia nisilale atanipigia lakini.. Au alinidanganya😰😰🧐🤔yeye anakusubiri? mbuzi unajipeleka machinjoni🤣
endeleeni tu nisije nikaharibu penzi lenu😅Yeye mwenyewe kanimbia nisilale atanipigia lakini.. Au alinidanganya😰😰🧐🤔
Naona call yake ndo inaingia hapa saizi 💃💃.. Ngoja nijivutevute nizuge nilipitiwa na usingizi🤗🤗endeleeni tu nisije nikaharibu penzi lenu😅
DuuuhAngalia tena, bado hujaona.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi, kuna wanaume wadangaji?!![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Naona call yake ndo inaingia hapa saizi 💃💃.. Ngoja nijivutevute nizuge nilipitiwa na usingizi🤗🤗
HakikaHizo wala sio hasira za karibu, kinachokusumbua ni ujinga. Anza kufuta ujinga.
Umepita hadi huku mkuu 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣