Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,880
- 12,319
- Thread starter
- #61
Ya ni kweli. Madogo wengi wamejitoa mhanga kwa kwenda popote wasipopajua ili mradi waondokane na maisha ya msoto.Wadogo kiumbe wakubwa kifikra maisha yamewalazimisha kuwa wakubwa.
Hawa lazima walifika Dar kwa kudandia malori,au gari za ng'ombe.
Kuna dogo alitembea kwa mguu toka Mwanza hadi south africa haya maisha yaache tu ufumbuzi upatikana kuliko na shida ilivyo.